Ushauri wa haraka wakuu

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
977
1,000
Nipo hapa Lodge flani mitaa ya Sinza, nimeaga naenda Iringa kwenye semina, kumbe Mzee niko hapahapa jiji la Makonda nimejichimbia.

Sasa nipo na Mchepuko ambao ni denti wa Chuo, ameshakula hela zangu za kutosha leo ndio ilikuwa hukumu yake.

Maandalizi yote yameenda poa mpaka dk za mwisho ila sasa sijui tatizo ni nini, babu kagoma kusimama na hii haijawahi kunitokea.

Nimefanya kila namna lakini babu hataki nisaidieni nifanye nini ili huyu mtoto asinishtukie nisije nikaadhirika jamani.
 

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,869
2,000
Ikisimama mtanasiana hivi kusoma hujui na picha huoni,wanaume wa Dar mpoje nyie
 

Chrispesa

Member
May 30, 2017
13
45
mkague huyo dada kama ameweka kitu chenye ncha kali kichwani mfano sindano au toothspick jifanye unachezea nywele kichomoe faster
Naomba unielekeze Zaidi Hii ndo kwanza nasikia leo Ndugu... kuhusu kitu chenye ncha kali(sindano nk)
 

Tater

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,666
2,000
Shukuru kwa kila jambo..

Vaa nguo nenda Iringa hata kutembea kisha urudi..!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom