Nimepata mke JF lakini bado nina hofu naye sana kuhusu ex wake

ABINALA

Senior Member
Sep 20, 2013
130
225
Habari za majukumu ndugu zangu!
Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana Mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/Mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wananchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo haohao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao. Kwa sasa nina mke niliyekuta naaye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na mtu wake huko mji Mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego"

Niliweza kuwa naye baada ya kupewa ushauri na mtu kuwa kuoa mtu asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi in vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia halii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisimulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana,alikuwa anampa pesa za kutosha,alikuwa analalanaye guest za luxury yaani naunia mno why this? Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Tatizo ulilonalo ni wew unavoishi na mkeo,kumbuka yeye ni binadamu, kwa hisia lazima akumbuke yaliyopita Kama utofanya jitihada za msingi asahau vyote,cha msingi ongea na mkeo hisia unazozipitia najua Kama nimuelewa at a achana nazo ,ongea nae kwa upole wa kumsisitiza ili achukulie maanan itakusadia
Kujijenga wew ,mkeo na ndoa yenu usikae kimya tu mkuu,
 
feitty

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
2,011
2,000
Sasa nyie mmeoana na mna miaka minne ndani ya ndoa habari za kuongelea ma ex wenu zinatoka wapi.
Yaani mnakosa kuongelea mambo yenu anaanza kumkumbuka ex wake na anakueleza ujue kuna tatizo hapo.
Cha msingi kaa na jaribu kufanya vile vitu ex wake alikuwa anavifanya ambavyo yeye anavipenda hata kama sio vyote ila vile ulivyo na uwezo navyo jitahidi.
Kingine kaa nae mueleze kama aliamua kuolewa na wewe ina mana alikuridhia hivo asizungumze kabisa habari za huyo ex wake ukiwa nae kama hana kingine cha kuongea afadhali akae kimya.Huyo ex angekuwa anamjali na kumpenda kweli angemuoa.
Behave kama mwanaume kwenye ndoa yako kuna vitu ukiviacha mkeo akizoea atakuletea shida.
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,893
2,000
Cha msingi usipende kupiga naye past stories.. Na ukomae kutafuta ngawira ili umzidi x wake na siyo kukomaa kuandika nyuzi ndefu humu jf
 
nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
4,790
2,000
Sasa nyie mmeoana na mna miaka minne ndani ya ndoa habari za kuongelea ma ex wenu zinatoka wapi.
Yaani mnakosa kuongelea mambo yenu anaanza kumkumbuka ex wake na anakueleza ujue kuna tatizo hapo.
Cha msingi kaa na jaribu kufanya vile vitu ex wake alikuwa anavifanya ambavyo yeye anavipenda hata kama sio vyote ila vile ulivyo na uwezo navyo jitahidi.
Kingine kaa nae mueleze kama aliamua kuolewa na wewe ina mana alikuridhia hivo asizungumze kabisa habari za huyo ex wake ukiwa nae kama hana kingine cha kuongea afadhali akae kimya.Huyo ex angekuwa anamjali na kumpenda kweli angemuoa.
Behave kama mwanaume kwenye ndoa yako kuna vitu ukiviacha mkeo akizoea atakuletea shida.
umemshauri vema dadangu...... ila elewa mapenzi is an art/sanaa..... na kila mmoja ana sanaa yake kama yeye mwenyewe.... sanaa ya mapenzi ni kubwa sana... ukimwambia ajaribu kufanya vile vitu alivyokuwa anafanya ex wake ndo unampoteza mtoa mada.... sbb akikosea tuu... ndio kamfungulia njia mwenza wake.... hiii asijaribu kabisa...mleta mada anao uwezo wa kufuta kabisa kwenye akili yake..... kama nisemavyo daily amini mke/mpenzi wako uliye nae ni wako peke yako....mengine peleka DAMPO.... utayafurahia......hizo story alizopewa sio jana au leo..ni long time....aamue mwenyewe kuzifuta and delete......
 
mij

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
1,901
2,000
Siku nyingine unapofungua uzi jitahidi kuweka angalau paragraph pamoja na vituo. Nimejaribu kuformat uzi wako hapa chini ili usomeke vizuri

Habari za majukumu ndugu zangu!

Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wana nchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo hao hao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao.

Kwa sasa nina mke niliyekutana naye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na MPE wake huko mji mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego" na niliweza kuwanaye baada ya kupewa ushauri na MTU kuwa kuoa MTU asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi ni vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia hali hii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisumulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana, alikuwa anampa pesa za kutosha, alikuwa analala naye guest za luxury yaani naumia mno why this?

Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,887
2,000
Habari za majukumu ndugu zangu!
Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana Mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/Mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wananchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo haohao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao. Kwa sasa nina mke niliyekuta naaye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na mtu wake huko mji Mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego"

Niliweza kuwa naye baada ya kupewa ushauri na mtu kuwa kuoa mtu asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi in vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia halii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisimulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana,alikuwa anampa pesa za kutosha,alikuwa analalanaye guest za luxury yaani naunia mno why this? Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
Huo wasiwasi nadhani ulipaswa uwe nao kabla hujamuoa ila kwakuwa ulijitoa mhanga mwenyewe kulivaa hilo bomu basi vumilia tu Mkuu ili likulipukie vizuri. Halafu kuna kitu nimekihisi kuwa yawezekana ukawa tayari umeshambandua huyo Dada wa Watu hadi Mbunye yake umeichakaza na kuichosha kabisa hivyo imekukinai na sasa unakuja na Visingizio vyepesi ili tu upate sababu ya labda kuachana nae. Hukuwa tayari kuishi nae bali ulitawaliwa tu na tamaa na msukumo wa Marafiki kuwa uoe / umuoe.
 
Upiversity

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,541
2,000
...bado mvulana wewe!
..muache uone WANAUME halisi watakavyojisevia, ...ndo ufe kabisa!
 
1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
7,468
2,000
Habari za majukumu ndugu zangu!
Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana Mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/Mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wananchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo haohao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao. Kwa sasa nina mke niliyekuta naaye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na mtu wake huko mji Mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego"

Niliweza kuwa naye baada ya kupewa ushauri na mtu kuwa kuoa mtu asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi in vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia halii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisimulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana,alikuwa anampa pesa za kutosha,alikuwa analalanaye guest za luxury yaani naunia mno why this? Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
Dah, kwani wewe humuadithii za ex wako? Nawe hadithia za kwako , mwambie mwenzio alikuwa ananipa 0714, mwambie mwenzio alikuwa mzuri kuliko wewe, mwambie mwenzio alikuwa alikuwa ananipa mahela sana, mwambie mwenzio alikuwa anapeleka zawadi kwa mama mara kwa mara, mwambie mwenzio alikuwa mtundu sana kwa 6, utaona anavo baa, hatarudia tena,, ongezea mademu wangu wengi walinitongoza hahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom