Moyo wangu haujawahi kukupenda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,778
Haya ni maneno aliyotamkiwa shots na boyfriend miaka 15 iliyopita. Wakati huo shost mapenzi yalikuwa yamejaa tele kwa jamaa. Hakuwa na jinsi aliuguza majeraha, wakati hup jamaa alishampata mwingine wa kifunga nae ndoa.

Yaliyotokea kwenye ndoa ni siri Yao lakini kwa kifupi ndoa chali na jamaa Yule anamwangukia shost penzi lianze upya, shost aliponieleza jana sikuwa na jibu la kumpa ukizingatia na joto la huku kwetu Kwamtogole na hasira niliyokuwa nayo. Mnaweza kumshauri shost hapa wakuu?
 
Hii stori yako bwana!
Miaka 15 iliyopita hivi walitongozana wakiwa na umri gani?
Yaani miaka 15 huyu shots ako hujawahi kupata MTU?
 
Kwa hiyo baada ya hiyo miaka 15huyo shost hakuolewa mpaka jamaa anamrudia tena
Hili nalo ni tatizo
Kama ni hivyo basi amkubalie waishi tu
 
Hebu muulize kwanza kwa sasa yu na wanaume wangapi na umuuliza ni miezi 15 au miaka 15 kisha tuendelee maana unaweza ukotoa ushauri kumbe ni stori tu kisha wewe unakaza kutype kumbe hakuna mtu anaetaka ushauri bali ni kufurahisha jukwaa tu.
 
ooohhh...... ina maana demu hajanaswa na tego lingine mpaka leo....???
Chagua chagua ilikuwa kwa sana maana jamaa alikuwa na combination zote mzuri, shule, status kwahiyo alikuwa anatafuta wa kulingana nae
 
Hebu muulize kwanza kwa sasa yu na wanaume wangapi na umuuliza ni miezi 15 au miaka 15 kisha tuendelee maana unaweza ukotoa ushauri kumbe ni stori tu kisha wewe unakaza kutype kumbe hakuna mtu anaetaka ushauri bali ni kufurahisha jukwaa tu.
Mpaka ameoa na jua cha ni miaka 15 mkuu
 
Haya ni maneno aliyotamkiwa shots na boyfriend miaka 15 iliyopita. Wakati huo shost mapenzi yalikuwa yamejaa tell kwa jamaa. Hakuwa na jinsi aliuguza majeraha, wakati hup jamaa alishampata mwingine wa kifunga nae ndoa.

Yaliyotokea kwenye ndoa ni siri Yao lakini kwa kifupi ndoa chali na jamaa Yule anamwangukia shost penzi lianze upya, shost aliponieleza jana sikuwa na jibu la kumpa ukizingatia na joto la huku kwetu Kwamtogole na hasira niliyokuwa nayo. Mnaweza kumshauri shost hapa wakuu?
Shosti Moyo bado hauja kufa ganzi nae tuu? ningekua mimi naona hata sura yake nisingetaka kuiona, after all that she went through,huyo huyo alokuchokoa roho anakuja tenaa mie ningesema No aendelee tuu na huyo au atafute mwengine but me big NO...
 
Wanaume wanashindwa kuelewa kuwa na sisi ni binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom