Hivi kwa nini vitu haramu ni vitamu sana?

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
476
412
Ulishajiuliza kwa nini vitu vilivyokatazwa kwenye maandiko huwa ni vitam sana? Mfano pombe? Kambale? Nguruwe? Nk? Tukumbushane na vingine haramu ambavyo ni vitamu....
 
Back
Top Bottom