D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
Tangu mwaka 1980 wanawake hawajabadilisha maswali unavyowatongoza.
Swali 1.Hivi wanawake wote hujawaona mpaka uje kwangu?
Swali 2. Nitaamini vipi kama unanipenda?
Swali 3. Nini hasa kimefanya unipende? Halafu ukimwambia upo peke ako kwangu utasikia wanaume mnasemaga hivyohivyo.
NB: Wanaume tumeshakariri wadada acheni ujinga, upumbavu na maringo yasiyo na maana.