Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu naomba luuliza! Hivi kushindwa kufika kilelemi ni upungufu wa nguvu za kiume!!? Inatokea wakati uko na manzi wako, mnaenda mzunguko wa kwanza mnafika kileleni vizuri, lkn ukitaka kurudia...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Hivi wanawake mnaokataa kuishi na watoto wa mwanaume mnajielewa kweli nyie Hivi unategemea nitakupenda na kukunyenyekea wakati hutaki kuishi na wanangu. Endelea kujidanganya tu Mrejesho Jf hakuna...
3 Reactions
134 Replies
11K Views
Kuna katabia huwa sikipendi kwa hawa viumbe wanawake Especially mabinti. Yani sipendi hii tabia, Ni hivi unakuta binti umemzidi umri sawa Lakini anatembea watu wakubwa zaidi yako kiumri alafu...
4 Reactions
105 Replies
9K Views
Yaani inakera sana mwanamke kukuletea mzigo uku anamsitu wa nywele kibao yaani mzuka wote unakwisha
1 Reactions
80 Replies
19K Views
Awe na umri miaka 35+ mkoa awe anaishi Tanga mpaka akhera awe na watoto sio chini ya wa5 Kuhonga sijui kusema kweli, Awe na makalio yasio pungua Tani 6, Awe na rangi Ya kijani uzito wake wa mwili...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanawake mlio bahatika kuolewa ni kitu gani kinawasibu katika ndoa zenu? Kwanini mnapenda kujirahisisha sana? Hamuoni kama mnajidhalilisha wenyewe na kupelekea mume au waume zenu kudharaulika...
20 Reactions
433 Replies
29K Views
Kama marudio mnisamehe but kuna kitu cha kujifunza hapa By darasa la mapenzi Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana...
5 Reactions
20 Replies
14K Views
Habari wakuu, Suala la mahusiano hasa kwa wasichana limekuwa na changamoto na hii imepelekea wasichana hao kumng'ang'ania mwanaume hata kama hampendi. Hii imepelekea wasichana hao 'kujishusha...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Ni binti alishahitimu masomo yake. Sheria sizijui amenipenda na aliahidi kunipa chochote..sijataka kumjibu vile ndio amemaliza kidato cha sita na sasa anaingia chuo. Kwa kuwa alizoea kuniomba...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
BAADA YA KUTOA USHAURI KWA BINTIE, BABA HAKUMUACHA NYUMA KIJANA WAKE WA KIUME ALIMPA BUSARA ZIFUATAZO KATIKA KUTAFUTA MKE. Mwanangu kwa unyenyekevu mkubwa napenda niwe mkweli kwako. Usiweke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavojieleza, Mdada ni ipi sifa kuu na muhimu zaidi kwako ambayo ukimkuta mwanaume mwenye sifa hiyo basi huta hangaika kutafuta mwingine. Usiweke sifa zaidi ya moja kwasababu...
2 Reactions
147 Replies
12K Views
Ni nini faida ya kupiga chabo ? Kusingekuwepo na watu wanaopiga chabo kama kusingekuwa na faida ,lazima kutakuwa na faida ,jamani msiwe wachoyo hebu tuelezeeni ,inasemwa kuwa wazaramo na...
0 Reactions
42 Replies
13K Views
bint wa miaka17-27 mwenye tabia nzur na aliye tayar kuolewa tuwacliane, nina 29yrs .In addition nipo mwanza
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu kumekuwa na tabia ya hawa madem zetu kuomba omba hela oo mara hela ya kusuka ooo mara hela ya nguo hivi nyie dada zetu mnao omba vipi hamna wazazi wenu ama ndio maana tuna hit and run sababu...
0 Reactions
76 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa nyingi kuhusu unyanyasaji ndani ya ndoa. Taarifa hizi zinaonesha kwamba vitendo vingi vya unyanyasaji vinafanywa na wanaume dhidi ya wanawake. Hili kwa kiwango...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni hayo tu usha
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam. Naomba kujuzwa hapa, ni sifa zipi mchepuko/mpango wa kando unafaa kuwa nazo? Nawasilisha.
1 Reactions
23 Replies
5K Views
*✍TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI* _ KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SIO WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA......._ *TUANGALIE...
2 Reactions
20 Replies
66K Views
Hii haitakuwa mpya kwenu maana ni upepo wa kawaida wa karne hii Kwakuwa yamenikuta na mimi basi nafurahi kuwa miongoni mwa hao waliotendwa kabla yangu Naombeni msaada mwenye full Audio ya wimbo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…