NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
Wakuu naomba luuliza! Hivi kushindwa kufika kilelemi ni upungufu wa nguvu za kiume!!? Inatokea wakati uko na manzi wako, mnaenda mzunguko wa kwanza mnafika kileleni vizuri, lkn ukitaka kurudia, mkorea anakuwa ameshasimama vizuri lkn kila ukijitaidi kusugua, huoni hata dalili za kufika kilele huku jasho likiwatiririka mpaka mnaamua kuahirisha! Lkn moaka mnaacha bado dusherere limesimama linataka!!