Wadau kama kinavyojieleza kichwa .huyu manzi wangu ananiboa sana.kila akija kwangu anavaa hovyohovyo tu kiasi kwamba sipendi hata kuongozana nae.unakuta anakuja amevaa mgauni wa kitenge utadhani...
Baada ya kumlia mingo hatimae kaingia kunako kumi na name,mrembo !mrembo kweli kaumbika.Kajisododoa eti yeye ni bikra na hajui siku tukifokonyoana itakuaje mana anaogopa na hajawai.Mimi vilevile...
Habari zenu wana mmu
Kuna jambo limekuwa likinitatiza kidogo nikaona si vibaya nikiwashilikisha.kutokana na heading hapo juu...je nikweli mwanaume anatakiwa kuwa mgumu wanawake watamwona...
Ni vyema sana kutunza kibuyu chenye mbegu kwakuwa kinafaida kuliko kutunza kibuyu kisicho na mbegu ambacho hata ukitikisha hakitoi sauti ya kuwapo kwa mbegu ndani yake. My friend kuwa makini sana...
habari zenu,
Straight to the point, Wanaume naomba mnisaidie kuelewa jambo moja. leo kuna jamaa nimetoka nae lunch, he was a long time friend so recently tukakutana, aka ni`invite lunch while...
Huwezi Kuwa Serious Na Maisha Afu Mwaka Mzima Unajadili Lowassa Na Magufuli Wakati Hela Huna. Utakuwa unahitaji Kusaidiwa Kifikira Mambo Yanayohusu Tundu Lissu,
Sijui Lema, Sijui Nape, Arsenal Na...
Ukipitia post nyingi za wadada hata kwenye vipindi vya redio wadada wanaotafuta wanaume kigezo chao kikuu ni mwanaume awe kasoma kuanzia ngaz ya degree nakuendelea.
Napenda kuuliza hivi hizo...
Ni katika pita pita zangu hapa JF nimeona wapenzi wengi wakirushiana lawama sio kwa wanaume wala kwa wanawake.
Ni kwanini hali imekua mbaya hivi? Kwa nini wapenzi wawe maadui badala ya kumalizana...
Hello!
Habari za wakati huu wapendwa,
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa...
Habari zenu wana jf
….kuna swali huwa wengi wetu tunapenda kujiuliza au kuwauliza wapenzi wetu au hata marafiki hivi wanawake wanataka nini ? au hivi wanaume wanataka nini?
Hili swali huwa...
Habari za asubuhi wapendwa ..
Kuna kesi nimeletewa ni wiki sasa natafakari na kuamua kuwafundisha baadhi yetu wenye tabia kama hizo..
Kesi yenyewe kwa ufupi tu ni kuna wana ndoa wapo kwenye...
Habari zenu wakuu, natumai hamjambo kabla ya yote ningeomba tusaidiane hili la kutafuta wachumba kwamba asilimia kubwa ya wanaume wakitafuta wachumba hua wanazungumzia sana tabia nzuri na hofu ya...
Habari za wakati huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nini maana ya wife material?
Wanaume wengi wanaotaka au kuwa na malengo ya kuoa huwa wanasema kuwa wanahitaji mtu aliye...
Nimeamua kuja na huu uzi maana ninaona watu wanapost na kumponda mwanamke kuwa ni msariti. Nipende kuongea ukwel siku zote mwanaume akimkamata mpenz wake kuwa anampenz mwingine anafanya uamzi wa...
wakuu hatimaye nimerudi tena baada ya zile mada zangu za kukuta uchafu kwenye simu ya mpenzi wangu na ile ya kutovaa pichu nimeudi na hili jingine la kutokua na hisia za kimapenzi kwa...