Mwanamke na mwanaume wakifumaniwa , anaedhurika ni mme. Je kuna haki kwer hapo?

Apr 18, 2017
96
47
FB_IMG_1496946122342.jpg
 
Wanawake kawaida ni viumbe dhaifu mkuu hawapaswi kuonewa na kunyanyaswa .... Sisi wanaume tumeumbiwa mateso kwa hiyo tupigike tu..kwa hiyo ukiona tunapata adhabu kubwa kuliko KE usishangae
Haaaaaahaaaahaaa haaaa unachekesha sana.
 
Wewe Huyo mwanamke hajafumaniwa uswahilini mbn kila rangi ataiona
 
Kijana unaharibu kiswahili!

kwer ~ kweli
tatzo ~tatizo

nk.


[HASHTAG]#badilika[/HASHTAG]!
 
Back
Top Bottom