Ni kwanini watu wenye mahusiano wana roho mbaya?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,840
2,000
Ni katika pita pita zangu hapa JF nimeona wapenzi wengi wakirushiana lawama sio kwa wanaume wala kwa wanawake.

Ni kwanini hali imekua mbaya hivi? Kwa nini wapenzi wawe maadui badala ya kumalizana mahusiano yao kwa amani?

-Hii nafsi ya chuki kwanini inatawala mioyo ya wapendanao?
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,859
2,000
Roho ya kuchukia ipo moyoni mwa mtu mkuu... Uaminifu ni nusunusu siku hizi mkuu
 
Huwaga natafakari sana hili jambo nakosa majibu.
Mimi naona watu wengine wanafurahia kuona wenzao wakilia tuu, hawapend kuona mtu baki smile na akismile ni dosari hivo they each and everything to destroy someones heart!
 
Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,859
2,000
Huwaga natafakari sana hili jambo nakosa majibu.
Mimi naona watu wengine wanafurahia kuona wenzao wakilia tuu, hawapend kuona mtu baki smile na akismile ni dosari hivo they each and everything to destroy someones heart!
Watu ndio walivyo wana roho za ajabu
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,934
2,000
Ni katika pita pita zangu hapa JF nimeona wapenzi wengi wakirushiana lawama sio kwa wanaume wala kwa wanawake.

Ni kwanini hali imekua mbaya hivi? Kwa nini wapenzi wawe maadui badala ya kumalizana mahusiano yao kwa amani?

-Hii nafsi ya chuki kwanini inatawala mioyo ya wapendanao?
It's a thin line between love and hate, hell and the pearly gates...
 
Man Thom

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
717
1,000
Kwenye mahusiano hakuna anayekubali kushuka, kila mtu anataka kuwa juu..usipojielewa kila siku mtagombana..for a simple research niliyofanya(japo sikulazimishi kuamini) nimegundua kuwa, wanawake wanapoingia kwenye ndoa na wakaizoea ndoa barabara huwa wana kawaida ya kuwapanda waume zao vichwani jambo ambalo wanaume hatukubaliani nalo!
 
Mkuu kama upo kichwani mwangu vile. Ndo tabia za wanawake yani baada ya kuolewa huwa wanajisahau kabisa.

Na hapo kwenye swala la kushindwa mtauana kwa kweli yani hata kama wamekosea vipi bado watajiona hawajakosea daily kujitetea
 
Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,934
2,000
Fafanua zaid mkuu
Wanasema kuna mstari mdogo sana unaotenganisha mapenzi na uhasimu, mbingu na moto.

Mapenzi ni hisia kali ya kumuona mtu mzuri, yakigeukana kuwa mabaya yanaweza kirahisi sana kuwa hisia kali vile vile ya chuki kumuona mtu mbaya.
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,840
2,000
Wanasema kuna mstari mdogo sana unaotenganisha mapenzi na uhasimu, mbingu na moto.

Mapenzi ni hisia kali ya kumuona mtu mzuri, yakigeukana kuwa mabaya yanaweza kirahisi sana kuwa hisia kali vile vile ya chuki kumuona mtu mbaya.
Nimekupata mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom