Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,230
Najitahd kumrudsha upnde wa kupetpet ila ye pesa tu ka mfukoo
mwombe BACKGROUNDNajitahd kumrudsha upnde wa kupetpet ila ye pesa tu ka mfukoo
kumbe ndio zenu eeeeVijana tafuteni sana pesa muache kulia lia hovyo.
anakubali 071. A.k.A jazwa ujazwe.kama ni fresh tumia pesa mkuuNajitahd kumrudsha upnde wa kupetpet ila ye pesa tu ka mfukoo
Usijibu kwa kukariri mzee vocha tumewaachia dada zako waombe ombe, hapa tofali, bati ama kuongeza kiwanja na mtaji wa biashara.kumbe ndio zenu eeee
ndio maana popo wengi sikuhiz dar
shuleni hamtaki kusoma mnasema tunawasomea
mnapiga vizinga vya vocha mpaka mitandao inawashukuru