Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,437
- 4,146
Nimeamua kuja na huu uzi maana ninaona watu wanapost na kumponda mwanamke kuwa ni msariti. Nipende kuongea ukwel siku zote mwanaume akimkamata mpenz wake kuwa anampenz mwingine anafanya uamzi wa kuachana nae je, mwanamke akikukamata wewe mwanaume huwa anachukua uamzi kama huo?
Unakuta mwanaume anampenz wake anae mpenda sanaaa lakin anawengine kwa pemben alafu akija hum JF anasema wanawake hawa niwasariti je ww unamtendea haki mpenz wako kwakuwa na wapenz wengne pemben?
WANAUME MUNGU ANATUONA ETI.