Nini Maana ya Wife Material?

streat Anthem

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
395
500
Habari za wakati huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nini maana ya wife material?
Wanaume wengi wanaotaka au kuwa na malengo ya kuoa huwa wanasema kuwa wanahitaji mtu aliye Wife material. Hivi huwa wanamaanisha nini wanaposema ivyo?

Ni kweli tunavijua vigezo vya wife material? Au tunatamka kimazoea bila kuangalia uzito wa Maana ya hilo swala?
Ni material gani huwa tunayalenga? Je kwa upande wa wanaotaka kupata wife material nao huwa ni materials kwa upande wa pili?

Utayatambue materials kwenye hii dunia ya materialistic?
Nawasilisha hoja kwenu wadau tuweze kusaidiana maarifa kuhusu haya mambo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom