Kila anapokuja kwangu anakuja kavaa vibaya hadi kero

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Wadau kama kinavyojieleza kichwa .huyu manzi wangu ananiboa sana.kila akija kwangu anavaa hovyohovyo tu kiasi kwamba sipendi hata kuongozana nae.unakuta anakuja amevaa mgauni wa kitenge utadhani mwalimu.mala kavaa dera kama mcheza taarabu.yaani anavaa hovyohovyo tu utadhani sio msichana wa miaka 24.ajabu ni kwamba akienda sehemu zake zingine huwa anapendeza ila akija kwangu tu ananijia kanivalia kiajabuajabu.mala mitandio kichwani mala msiketi mrefu hadi chini kabisa kama mwanakwaya,,ila ni mzuri wa sura na ana umbo zuri(kama mjuavyo sichukui mademu wabaya).yaani huwa najisikia aibu sana kila ninapomrudisha kwao na gari,hivi inawezekana chanzo ni nini labda? Sijamuuliza
 
Back
Top Bottom