God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
....
Habari wadau wa mambo yetu pendwa.
Natumai wazima kabisa.
Bila kupoteza mda mda Nilikua na demu wa 18yrs nilimpenda sana na yeye alinipenda sana pia.
Tulidumu kwa miez kama miwili, tatizo la huyu mrembo alikua msiri sana, nilimuuliza yaliyokua yananimboa lakini kamwe hakuniambi hadi mimi kuchukua uamuz wa kumtema mara moja.
Huyu dogo aliwahi niambia hajawahi fanya mapenz kwa muda wa mwaka mmoja toka aachane na mpenzi wa awali. Hii ilinipa faraja sana kwani ni ngumu mwanamke kudumu kitambo chote hicho bila kunanihino.
Nilichokua kufahamu huyu mrembo alikua muongo yote alikua ananidanganya tuu.
Nilipomfuma basi ndo ukawa mwisho wa mahaba yetu.
Funzo nililopata kamwe usimuamini mwanamke kabisa hata akufanyie mema gani.
Ukitaka kujua namanisha nini soma kitabu cha mithali. Kuna mstari umeandikwa "Ishini na wake zenu kwa akili".
Kwa hayo maandiko nadiriki kusema wanawake wote ni wanafiki tuu hamna cha upendo wala nini.
YaaniHakuna mstari wa kitabu cha mithali unaosema " ishini na wake zenu kwa akili"... We pia inaelekea huaminiki hausemi ukweli
Ninaweza nisiw nimenukuu vizuri ila kuna maandiko yanahimiza ishini na wake zenu kwa akili, sikumbuki ila nikipata nitakuleteaHakuna mstari wa kitabu cha mithali unaosema " ishini na wake zenu kwa akili"... We pia inaelekea huaminiki hausemi ukweli
MKUU UMEONGEA KWA HISIA SANA KAMA NAKUONA HIVI. OKAY NOTED!Wewe bado unawaamini... Hivi Samahani lakini wewe ni Mkristo au Muislam? Don't ever Trust a Woman na hata maandiko yamesema usimwamini ila Uishi nao Kwa Akili....
Jifunze kupitia Samson na Delila, Jifunze kupitia Adam na Hawa...
NEVER AND I REPEAT NEVER TRUST A WOMAN... HATA MAMA YAKO USIMWAMINI THE ONLY ONLY THING YOU COULD TRUST YOUR MOTHER NI KWA KUKUZAA TU THE REST DO NOT TRUST.
Sijakuelewea mkuuKwahyo uligundua ipo laini kama kapigwa jana yake au?
Si Age mate!halafu huyo si mwanamke.. tafuta mwanamke achana na wasichana
Kuna mdau kasema hata mama yako usimwamini huku ni kuwadharau na kuwashushia heshima mama zetu, mama waliotulea kwa shida na raha umeumwa amehangaika na wewe ulimfanyia kia aina ya madhila na bado akakustahmilia leo msiwaamini mtakuja kupata lana bila kujijua
Next time tafta alieenda age kidogo 18 yrs bado akili za kitoto zinamsumbua
#bailly's
basi na wewe subiri ukue kwanzaSi Age mate!