Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
habari zenu,
Straight to the point, Wanaume naomba mnisaidie kuelewa jambo moja. leo kuna jamaa nimetoka nae lunch, he was a long time friend so recently tukakutana, aka ni`invite lunch while catching up sababu ni since 2014 nilivyo mpotezeaga kwamba siwezi toka nae sababu he appered as a player na ni dada yake ndiyo alitukutanisha, so dada mtu akanipa tahadhari.
So, leo tukaenda lunch yetu safi kabisa, tukaulizana pale maswali ya salam, umeoa or umeolewa, una watoto wangapi, kwa bahat nzuri or mbaya yeye haoa or mimi kuolewa, wala no kids yet. Akanambia but yeye ana f**kmate ambaye ni dem wa mtu na anatarajia olewa soon.
sasa katika maongezi ananiambia anaomba mimi na yeye tu`hook up! nadhani anataka niwe f**kmate wake. Hapo hapo jamaa anasema yeye anakuwa muwazi tuu kwangu kwamba kama tukiamua kuanza ku`hit it, na tuka` fall in-lov or kutaka mambo kuwa serious we can take it to another level. Of which i dont need to agree kama sipendi hiyo naman anataka kuanzisha mahusiano.
Hapa ndiyo nashindwaga elewa wanaume, na pia niulize tuu, Je ni kwa kiasi gani kutiana ni muhimu sana kwenu hadi iwe ndiyo ground ya kuanzisha uhusiano serious kama uchumba or ndoa?
Nisaidieni kuelewa nadhani mimi ndiyo mshamba as hii ni mara ya tatu nakutana na mwanaume wa hivi. Na wote inakuwa zero coz siamini kama kuanza na ngono ndiyo msingi bora wa mahusiano, em niambien tuu labda terms and conditions za ku`date ziko updated na new version ni mimi tu ndo sija`update.
Msaada kaka zangu!!!!!!!!!
i present.