Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Habari zenu wakuu, natumai hamjambo kabla ya yote ningeomba tusaidiane hili la kutafuta wachumba kwamba asilimia kubwa ya wanaume wakitafuta wachumba hua wanazungumzia sana tabia nzuri na hofu ya mungu ila wadada lazima wazungumzie kuhusu kazi nzuri au elimu ya chuo dgree, diploma nk
Sasa naomba kuuliza kwamba ina maana watu ambao hawajaenda chuoni hawana dgree diploma wala kazi nzuri hawaoi? Najiuliza nakosa jibu ila chakushangaza nikiangalia kwa uhalisia wale ambao hawana utajiri wala elimu kubwa ndio wenye kudumu kwenye ndoa..
Hebu tusaidiane vijana wenzangu mnaojua zaidi kuhusu hili