Unafanyaje pale unapokua na strict parents wasioruhusu kutoka usiku?
Okay unaombaje ruhusa kwa mzazi kama huyo?
Au niseme unamshawishi vipi akupe ruhusa?
Unatoa wapi guts za kuanza kuomba ruhusa?
kuna night concert flani sitaki kuikosa,ila naanzaje sasa,never been to one,hii naitaka sana
nawaza ntachezaje karata zangu nifanikiwe?
just wanna have some fun
ushawahi ona mtu anafurahi akiwa chuo than home,najiona mimi hapo.