Wakina mama kwa nini ni wagumu kuwalipa wafanyakazi wa ndani...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,158
2,000
Yaani housegirl anamiaka sita hajawahi kulipwa mishahara....
Akidai anaambiwa kwani mbona nakununulia nguo nakukulisha...
Akikomaa utasikia mbona nakulea hapa kama mwanangu
Akizidi zaidi utasikia ukirudi kwenu utapata tabu sana, Umesahau ulivyokuja umepauka!!!!

Wana wakike tatizo ni nini kuwafanyia ufisadi watoto wa wa wanawake wenzenu ?...
Kwa nini inakuwa vigumu kuwalipa wadada wa kazi?
Je mkiambiwa mwawekee na pesa mifuko ya jamii mfano NSSF/PPF inakuwaje....

Nini Chanzo cha tatizo?
 
Alisina

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
3,609
2,000
Wanawake wengi wanachuki za kijinga,hawana roho ya upendo hasa kipengele cha"wao kwa wao".

Ma-housegirl walio wengi wanapata taabu sana,manyanyaso,matusi wakati mwingine na kipigo cha hali Juu.

Wanawake,mama zetu badilikeni sana.
 
mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,158
2,000
Wanawake wengi wanachuki za kijinga,hawana roho ya upendo hasa kipengele cha"wao kwa wao".

Ma-housegirl walio wengi wanapata taabu sana,manyanyaso,matusi wakati mwingine na kipigo cha hali Juu.

Wanawake,mama zetu badilikeni sana.
Tatizo litaanza atakapoanza kupendeza...
Hawana tofauti na wezi wa makinikia, kumnyonya msichana wa watu alafu mrabaha sufuri...
 
Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
4,887
2,000
Huyo ana roho mbaya tu, ni wajibu wako kumnunulia nguo, mafuta na kumpa hela ya nywele na mshahara wake uwe pale pale. Kazi za nyumban zinachosha sana jamani, hawa wadada wanajitahidi sana.

Ni vile tu wamama wengine hawajielewi hivi mtu anakaa na watoto wako na unawakuta salama kwanini usimpende binti wa kazi kama ndugu yako?
 
Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
342
250

wewe unajitambua vizuri sana. good mum!
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,706
2,000
Kuna Jirani Yetu Pamoja Na Mapungufu Yake Ila Suala La Kulipa Mishahara Yuko Vizuri Huwa Wakishindwa Kuelewana Na Wafanyakazi Wake Huwa Anawaita Tu Jamani Ee Kama Kuna Mtu Kachoka Kazi Aniambie Anadai Sh Ngapi? Tuachane Salama Isifike Hatua Tuanze Kulaumiana
 
Madam Mwajuma

Verified Member
Sep 13, 2014
6,962
2,000
Huwa nalipa siku 5-8 kabla wafanyakazi wangu wote wa ndani na wa kijiweni kwangu sitaki chozi la mtu mie baada ya jasho lake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom