Mama mkwe mtarajiwa...

The Donchop

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
294
376
Habarini ndugu zangu.
Baada ya miaka mitatu ya mahusiano, mwezi wa nne mwenzangu alinimwaga bila sababu. Nilimuheshimu, nilimjali, nilimsupport kwa mambo yake nk. Aliniambia kanichoka na upendo tena haupo hivyo nimwache akatafute upendo mahala pengine.
Ilikuwa ngumu kukubali ukuzingatia home kwao kote nilijulikana ingawa haikuwa rasmi na kitendo hicho kilimfanya mama mkwe awe karibu sana na mimi.
Mimi sina wazazi. Mama mkwe amekuwa karibu yangu kiasi cha kuogopa nitamlipa nini. Nikiumwa yupo muda wote, nikipata shida yeye ni wa kwanza kunisaidia. Amekuwa rafiki sana kwangu kiasi cha kujua ninapopata shida hata kama sijaongea.
Of course anajua juu ya relationship yetu na hata tulipogombana anajua. Sasa kinachonipa mawazo, Jana nilikua napiga nae story. Sielewi mada za ndoa zilikujaje ndipo nikaropoka kuwa mimi natafuta Pesa na wala sitaki ndoa.
Mama mkwe hakukubaliana na Mimi na maneno aliyokuwa akiongea ni kama vile anataka kunirudisha kwa mtoto wake tuliyetoka kugombana naye toka mwezi wa NNE.
Binafsi nafikiria kumkimbia huyu mama mkwe, nikijaribu kuzima simu anakuja hadi home.
Sijui nifanyeje kumkimbia huyu mama bandugu maaana naona ataturudisha kule tulipotoka.
Msaada tafadhali.
 
wewe umemueleza huyo mama kilichotokea ? usikimbie wema na heshima hata kama huna mategemeo na binti wake. nikumueleza ukweli kuwa binti alikubwaga na wewe umeisha sahau na huna nia ya kurudi tena na muishi kwa he wema na heshima kama ilivyokua.
 
Mama anaonekana kujua ugomvi uliotokea. Na anapoelekea ni kuturudisha kuwa pamoja.
 
mleeeee tu au mtongozeee .. We utakuwaje karibu na Mama Mkwe ilihali Mtoto wake hakutaki
 
Watu mnaishi maisha ya ajabu sana....yani niachane na msichana halaf nikae kuongea na mama yake sijui nikiumwa namwambia...aisee!
 
Usikubali upoteze nafasi hiyo! Kama yeye ameamua akuache bila ya sababu ya msingi, mtembezee moto huyo mama mkwe halafu hakikisha huyo aliyekuwa mchumba wako analijua hili! Tuone nani atakayeumia zaidi......
To me revenge is best method of avoiding tears and harmonizing situation.
 
wewe umemueleza huyo mama kilichotokea ? usikimbie wema na heshima hata kama huna mategemeo na binti wake. nikumueleza ukweli kuwa binti alikubwaga na wewe umeisha sahau na huna nia ya kurudi tena na muishi kwa he wema na heshima kama ilivyokua.
Ahahahahaha Binti huyo wewe

so mamamkwe ana muhurumia mwanamke mwenzie
 
Ww umekosana na binti hujakosana na mama yake cuz kama mama yake mlikua mnarlewana cioni sababu yakuvunja ukaribu wenu ila ukiona anataka kukuletea maswala ya binti yake mrudiane we mchane live aliyokufanyia binti yake then yy atajua anyoe au asuke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom