fazzle boy
Member
- Dec 4, 2015
- 21
- 2
jamani poleni na majukumu ya kila siku mimi nahitaji kuoa na nini msichana wangu niliyekua nae kwa muda wa miaka sita toka enzi za secondary lakini imekuja kuwa vigumu kumuoa kwani mama yangu mzazi anapinga mimi nisioe kwa kigezo kua yeye amenitafutia mwanamke mwingine lakini mimi sijamwona pia anasema kuoa mwanamke ambaye nimedumu nae kwa mda mrefu eti tutachokana mapema hii imekaaje naombeni ushauri