Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
Jamaa yangu anaomba ushauri wa haraka (Fast track)
Kisa kilikua hivi...
Wife kang'amua username ya jamaa ya JF. bila jama kuusoma mchezo.
Wife katengeza acount kaweka na profile picture ya kuvutia...(Bonge la Msambwanda)
Baada ya hapo wife akamsearch jamaa na kuanza kumchombeza jamaa, kwa kum-quote quote jamaa plus vi inbox....Jamaa akaingia kingi bila break..Wakapanga hadi appointment huku ikishereheshwa na makiss na ma-Ilove you yakumwaga..
Sasa wakati jamaa anaondoka nyumbani..wife akamuuliza unaenda wapi...Jamaa akajibu nmeitwa kazini kuna emmergency. Alipotoka wife akampandia hewani na kumwambia ukweli...
Jamaa kwa aibu ikabidi apitie kwangu ili nimpe ushauri..Sijui nimshauri nini?