Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwezi uliopita nilipeleka msiba huko nyumbani (Mkoani) kuzika. Baada ya mazishi pamoja na kukusanya taarifa za wadaiwa na wadai wa marehemu, nikawa guru kutembea tembea kidogo. Cha ajabu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......* _Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._ _Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?"...
10 Reactions
27 Replies
6K Views
Jamani nina ndugu yangu mtoto wa shangazi yetu amekuwa na tabia ya ubishi, ujeuri na asiyesikia kwa wakubwa zake akielezewa jambo yaani mpaka sasa hataki na amekataaa shule akiwa na umri wa miaka...
1 Reactions
68 Replies
11K Views
*Dondoo 10 muhimu sana kwa walezi /Wazazi na Wazazi watarajiwa wote* [emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255][emoji255]...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu Leo naomba maoni yenu kuhusu hili jambo Ni hivi: Kuna dada yangu anatarajia kuolewa, harusi imepangwa kufungwa mwezi wa 10 ila ishu ipo hivi. Amezaa na huyo mwanaume mtoto 1 na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasalaam Alekyum! , Shalom! na Amani Ya Bwana! Iwe Nanyi Nyote wana JF-Love Connect. Kwanza kabisa katika uzi huu nataka kuandika kwa kiswahili fasaha kabisa ili kila kiumbe kitambaacho katika...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu, Nina mwanamke ambaye nilitokea kumpenda sana, of course ni mzuri sana nikaachana nae, mimi nipo mkoani yeye yupo Dsm, cha kushangaza kila akipiga simu yeye anaomba pesa tu mara laki...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Aisee hii tabia inanikera sana, tabia ya kupiga piga picha kila wakati wahanga wa kubwa wa hii tabia ni wanawake, unaenda na mtu sehemu ile mmefika tu unaona mdada ametoa kasimu kake anaanza...
3 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu Poleni,na asanteni kwa subra mlioonyesha wakati mnasubiria huu mkasa wa Dunia Hii. Nilikuwa busy sana na hata leo niko busy lakini kwa imani ya dini yangu kuna kundi nataka kujiepusha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana MMU, Nauliza wanandugu mkoje? Mtu umetoka honeymoon hujamaliza hata siku mbili mnaanza kupokezana kama mnafanya patrol. Unajiumwisha ki-ukucha huyoo mbio ooh nimekuja kuonana na daktari...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna ishara kadhaa ambazo unaweza kuzifuatilia ikawa ishara kuwa pengine mkeo au mpenzio anadukuliwa. Inawezekana ikawa si sahihi kwa asilimia 100 lakini hivi vinaweza kuwa viashiria flani. 1...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu, Many times nimekuwa nikifuatwa na Marafiki zangu pengine Marafiki zangu wanawaleta Marafiki zao niwape ushauri kuendana na hali ngumu wanazozipitia hasa katika mapenzi. Wapo...
6 Reactions
77 Replies
8K Views
Habari ya Ijumaa, Kuna sehemu nimesoma, mdada alikuwa anaomba ushauri wa avae nini ili apendeze na akatoa wasifu wake. Nikaona zaidi ya watu watatu wamemshauri kwamba asihangaike, kutafuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Maisha ni mchezo ambao kila mtu anaucheza kwa style yake, usiombe katika kucheza mchezo wa maisha upate 'the wrong partner' hata aliyejela pia hatakuwa na mateso yako. Kuna mengi tunapitia katika...
8 Reactions
96 Replies
10K Views
1. Fanya mapenzi hata mara moja tu na msichana ambaye hakuvutii ila tamaa tu bila kutumia condom majibu utayapata muda si mrefu. 2. Fanya mapenzi na housegirl bila kutumia condom, utayapata majibu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hawa watu maarufu kumbenni waongo hivi wanatangaza majani ya chai yanasaidia tumbo liwe flat kumbe wala hata sio,Rob kardashian kawaumbua baada ya kuweka wazi baby mama wake chyna alifanyiwa...
11 Reactions
65 Replies
14K Views
Habari za sasa wanaJF Bila kupoteza swala la hasira limekua ishu sana kwangu. Nimevunja urafik mara kibao pale mschana anaponiambia habar za kijinga mfano kuniomba vocha, kutonipigia au kujibu msg...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Swali kama lilivyo hapo juu bado huwa najiuliza ni kwa nini wanawake au wasichana wenye mimba ya kuanzia let say miezi sita kwenda juu, hufanana sana miondoko yao au ni wanaigana tu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi ya pesa yanapochomoza. Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa...
3 Reactions
49 Replies
23K Views
Miaka Wakati Katika Siku Kuanzia 0 - 05 Umri huu ni Alfajiri 06 - 10 wakati wa asubuhi 11 - 20...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom