Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA.
Malaki 2:15, 16
Kuna mshikaji wangu yuko hapa hapa JF anasema amegundua mpenzi/mchumba wake yuko hapa JF kupitia uandishi wa comments zake. Amemtambua kutokana na uandishi wa maneno yake kwenye "text message"...
Ndugu wana MMU kama heading isemavyo Hapo Juu, Leo saa sita usiku nilikuwa Nachati na mpenzi wangu akawa kama haeleweki mara katika kuchati nikamtumia Hiki ki emoji Flan kama cha Kupuuzia demu...
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)
Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari ndefu". mtoto...
Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu uzuri wa mwanamke.
Wapo wanaosema uziri wa mwanamke ni Sura, wengine umbo, wengine tabia na hata wengine wameenda mbali na kusema uzuri wa mwanamke upo...
Habari za Eid pili, bila kuchelewa niingie moja kwa moja kwenye jambo lenyewe, nina rafiki yangu ambaye nilisoma naye Tabora TC (2011) baada ya kumaliza hatukuwahi kuonana tena kwani yeye yupo...
Kuna tabia ambazo si nzuri kwenye jamii kama zifuatazo;
1. Kuchokonoa pua kwa vidole (hasa mbele ya watu),
2. Kuchokonoa masikio kwa vidole (hasa mbele za watu),
3. Kubeua (kucheua kwa sauti...
Wadau hili ni janga,
Kusomesha mchumba inabidi mtu uandae kabisa kamba ya kujinyongea. 99% lazima ukimbiwe huko mbele ya safari yamenikuta jamani nimesaidia kisu kimoja matata sana ila kimekuja...
Huyu kijana alikua anaitwa Sal. nimefupisha kirefu cha jina lake, alikua miongoni mwa vijana wajuaji juaji iv, na by then ndio alikua katoka kwao uko Tanga sasa kaja mjini kajifanya mtaalam wa...
Habari wakuu....
Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegendua jambo kuhusiana na maumbile yetu
Kwa wanawake.. Ukichunguza utakundua kuwa lipsi zake zinashabiana kabisaa na saizi ya papuchi...
Habari wana jamvi. Juzi katika mizunguko yangu mjini nilikutana na binti mmoja hivi mwanachuo. Kwa kumtazama kwa haraka haraka nikagundua hakuwa sawa. Kibinadamu nikamsogelea nikaanza kumsaili...
wanajukwaa
leo hii mpaka naandika ujumbe huu nina huzuni na kitu kinachoma kama mkuki moyoni mwangu,
Hapa nilipo nipo kwenye msibwa takribani siku ya tano upande wa mke wangu yaani ukweni
Hapa...
Habari za Jumapili wana MMU,
Ni matumaini yangu kuwa siku ya Leo imeenda sawa kwa kila mwana JF na kama haikuwa nzuri kwako pia ni jambo la kushukuru pia.
Bila kuzunguka sana na maelezo mengi...
weekend nimelala weeee maskani nikasema leo ngoja nipite mtaani kwakuwa nasikia ukitaka extrem sikuhizi lazma uzame uswazi hasaaaa, huku na huku huku na huku ngoma hili hapa, tako linaenda huku...
Mwaka huu kwangu ulikuwa wa maumivu tu kwenye mapenzi
April 2017: Nikaachana na Demu wangu wa kwanza
June 2017 :Nikaachana na Demu wangu wa Pili
June 30: Nikapata mchumba mpya mtoto mtulive...
Habari zenu
Nina msichana ambaye tumekutana kwenye mtandao tukaanzisha urafiki na hatimaye mahusiano,
Tatizo ni kwamba wadada wa mitandao wengi wao ni wadanganyifu lkn huyu amekua akipiga simu...
Mkeo / mchumba wako humsifii akiwa amependeza sanaa. ila akiwa rafuu yupoyupo tu yaani hapo utasifiwaaa mpaka unashtukia kuwa huenda ana kejeli.
Upake rangi ya mdomo kapoda kwa mbali ukitokeza tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.