Lis
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 471
- 346
Habari ya Ijumaa,
Kuna sehemu nimesoma, mdada alikuwa anaomba ushauri wa avae nini ili apendeze na akatoa wasifu wake. Nikaona zaidi ya watu watatu wamemshauri kwamba asihangaike, kutafuta ushauri kwa sababu kupendeza kwa mtu au kutopendeza kwa mtu, unazaliwa nayo. Ni kashindwa kuelewa na kuamini.
Je hii inaweza kuwa kweli?