God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Habari za sasa wanaJF
Bila kupoteza swala la hasira limekua ishu sana kwangu.
Nimevunja urafik mara kibao pale mschana anaponiambia habar za kijinga mfano kuniomba vocha, kutonipigia au kujibu msg yangu kwa wakat, kutokufika, kunipiga kalenda za mbali, kunitizama sana hasa napokua bize na mambo yangu.
Juzi ilikua nimfumue dada mmoja makofi baada ya kunitizama sana ila nilishindwa sababu kulikua na ulinzi wa jeshi.
Mimi napenda nikimwambia kitu mschana akifanye hapo hapo akileta za kuleta kwaheri.
Kuna mmoja ilikua niishi nae nikaona ana mambo ya kitoto nikampiga chini saivi nimeona bora kukaa pekee yangu tuu kuliko kuwa na mahusiano.
Nawaza ntakapooa sijui ndoa itakuaje kama hali hii itaendelea.
Naombeni ushauri plz.