Au kama vipi angeweza tu kumuuliza mama yake au dada zake...Huu ni utoto sasa, jaribu kubeba wewe uje ulete mrejesho
Jf imevamiwa na watoto tusijeshangaa tunaulizwa swali maziwa ya mama yananogaje?
Miondoko yao ikoje??Swali kama lilivyo hapo juu bado huwa najiuliza ni kwa nini wanawake au wasichana wenye mimba ya kuanzia let say miezi sita kwenda juu, hufanana sana miondoko yao au ni wanaigana tu.