Hivi dawa ya mtu mjeuri, mbishi na asiyesikia la mkuu ni nini?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,214
3,679
Jamani nina ndugu yangu mtoto wa shangazi yetu amekuwa na tabia ya ubishi, ujeuri na asiyesikia kwa wakubwa zake akielezewa jambo yaani mpaka sasa hataki na amekataaa shule akiwa na umri wa miaka 20.

Anachokitaka hata hatujui elimu yake kaishia form four ameambiwa aende Chuo a some hata diploma hata na huyo shangazi yangu ana uwezo wa kumsomeaha lakini hataki kusona.

Mimi alinitaa nikaongea nae wee lakini wapi hasikii la mtu wala nini nimeongea mpaka nimechoka aisee1

Kwa ambao ndugu zao waliwahi pitia situation kama hizi mliwasaidiaje watu kama hawa aisee maana nimeongea mpaka nimechokaa dogo nae ndo ivo sijui bangi au nini kinamchanganya.

Nisaidie kunipa ushauri siku nikionana na aunt yangu nimpe ushauri.
 
Sasa kama hataki anafanya kitu gani cha kusababisha aishi duniani?
 
Jamani Nina ndugu yang mtoto wa shangazi yetu amekuwa na tabia ya ubishi , ujeuri na ASIYESIKIA kwa wakubwa zake akielezewa jambo yaani mpaka sasa hataki na amekataaa shule akiwa na umri wa miaka 20 ,

Anachokitaka hata hatujui elimu yake kaishia form four ameambiwa aende Chuo a some hata diploma hata na huyo shangazi yangu ana uwezo wa kumsomeaha lakini hataki kusona

Mimi alinitaa nikaongea nae wee lakini wapi hasikii LA MTU wala NINI nimeongea mpaka nimechokaaa aiseeee,

Kwa ambao ndugu zao waliwahi pitia situation kama hizi mliwasaidiaje watu kama hawa aiseee maana nimeongea mpaka nimechokaa dogo nae ndo ivo sijui bangi au nini kinamchanganya

Nisaidie kunipa ushauli siku nikionana na aunt yangu nimpe ushauli gani
Anajua atatumia çheti feki na bado atakuwa mkuu wa mkoa, sasa kama amegundua hilo mwache na umuombee
 
Ukiona hasaidiki we tulia, taratibu ataanza kutambua mambo ni magumu cha msingi saivi pungezeni favor mnazompa, akianza kuona maisha ni magumu akili yake itakaa sawa.
Yaani anzeni kumfanyia roho mbaya tu, ugali mpeni, akichelewa muda wa kula alale njaa yaani msimpe ushirikiano kabisa, hali ikifikia huko ataona kuna tatizo
 
Asante sana kwa huu ushauli ulioutoaaa aiseeee
 
Jamani Nina ndugu yang mtoto wa shangazi yetu amekuwa na tabia ya ubishi , ujeuri na ASIYESIKIA kwa wakubwa zake akielezewa jambo yaani mpaka sasa hataki na amekataaa shule akiwa na umri wa miaka 20 ,

Anachokitaka hata hatujui elimu yake kaishia form four ameambiwa aende Chuo a some hata diploma hata na huyo shangazi yangu ana uwezo wa kumsomeaha lakini hataki kusona

Mimi alinitaa nikaongea nae wee lakini wapi hasikii LA MTU wala NINI nimeongea mpaka nimechokaaa aiseeee,

Kwa ambao ndugu zao waliwahi pitia situation kama hizi mliwasaidiaje watu kama hawa aiseee maana nimeongea mpaka nimechokaa dogo nae ndo ivo sijui bangi au nini kinamchanganya

Nisaidie kunipa ushauli siku nikionana na aunt yangu nimpe ushauli gani
Mdelete tu, nishadelete wapuuzi wengi tu nkikushauri ukaleta kiburi nadelete kila kitu as if sikufahamu
 
Acheni ajifunze kwa vitendo, ugumu wa maisha utamfunza yote. Kwa sasa ana uhakika wa kula na anafikiri wanaomlisha wataishi/watakuwa na uwezo huo milele. Huwa tunatofautiana sana muda wa kupevuka kiakili. Ila msimlazimishe shule mtapoteza pesa bure, si kila mtu ni lazima asome.
 
Jinga hilo. Mimi nimefukuzilia mbali jinga fulani likajifunze mbelembele huko. Sitaki ujinga. Mimi nilioa nikiwa na 22 yrs. Sasa jitu lipo karibu na 20 halina akili? Halionyeki? Let the world run over the fool!
Mbaya zaidi watu kama hawa wana ni watu lawamaa tuu hapo badae wanakuwa ni watu wa lawama sanaa wanafikia hatua wanalalamika Mara ohoo flank sijui anisaidii ndugu yangu Mara amenitengaaa
 
Sio lazima kusoma,usimlazimishe,
mpeleke kijijini akalime,
usikute anataka kuwa jambazi,
mwache tu maana ni maamuzi yake,yeye ndo atakuwa responsible kwa maamuzi kuhusu maisha yake na sio wewe
 
Acheni ajifunze kwa vitendo, ugumu wa maisha utamfunza yote. Kwa sasa ana uhakika wa kula na anafikiri wanaomlisha wataishi/watakuwa na uwezo huo milele. Huwa tunatofautiana sana muda wa kupevuka kiakili. Ila msimlazimishe shule mtapoteza pesa bure, si kila mtu ni lazima asome.
Unajua nini kaka hawa vijana wa siku hizi wakiona nyumbani wana nyumba nzuli ,kuna magali ,

Kila anachotaka anapewa na mzazi baba au mama hajawahi kulala njaaa hata siku mojaa.

Nadhani hivyo vitu sijui ndio vinamtia ujeurii yaani mama yake kama kuongea kuhusu shule kaongea mpaka ametoa machozi

Toto limekuwa jeuri halisikilizi LA MTU yeye kuchwa maisha yake ni kwenda club kufanya starehe kwa pesa za baba au mama yaani shida tupuuuuu
 
Mpunguzieni kumuhudumia kidogo kidogo yaani asipewe ela yeyote ata ya vocha au mavazi kama kuna ndugu zake wanaenda shule waongezeeni kipato ili awaonee wivi wamzidi kila kitu ataanza kujiuliza kwa nini mnamfanyia hivyo huku akikosa ela yoyote ataanza kukaa sawa
 
Vipi akianza udokozi?
 
Back
Top Bottom