Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Mwezi uliopita nilipeleka msiba huko nyumbani (Mkoani) kuzika. Baada ya mazishi pamoja na kukusanya taarifa za wadaiwa na wadai wa marehemu, nikawa guru kutembea tembea kidogo.
Cha ajabu nilichokiona ni pale nilipokwenda kwa jamaa yangu mmoja ambaye naye alipatwa msiba kama mie, ila yeye ni wa mdogo wake anayemfuatia.
Mchepuko wa marehemu ulikuja pale na watoto wawili damu ya marehemu pamoja na hati ya kirikuu moja na nyumba moja.
Jamaa anaomba msaada kama apokee zile Mali, watoto na mchepuko wa marehemu. Pia hajui cha kumweleza mke wa marehemu kwani anahofia kuhisiwa kuwa alikuwa anajua.
Je nimshauri vipi?