Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo ila awe mbeya maana na mm niko mbeya,asiwe mlevi pls. Mi ni mwanaume nna miaka 39, kama uko interested ni pm pls, kama haikuhusu we pita kimyakimya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu salamu.. Wakuu hivi kwa huu usawa ulivyo mnawezaje kuwafanyia uadilifu wake zenu maana dah mmoja tu nanga inapaa.. Tupeni uzoefu..
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi kutokana kuwa na wimbi kubwa la wanawake viazi wanaume siku hizi wamekuwa ndo wanahemea nyanya sokoni, wanapika, wanasafisha nyumba, wanaosha vyombo nk. Ndugu zangu wanaume...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Muda mwingi nafanyiwa matendo haya lakini mpaka sasa hivi nimeshindwa kutambua, mke wa mtu kukulegezea macho wakati mkikutana katika pilikapilika za maisha, pia kukutumia salamu ya "mambo" usiku...
5 Reactions
135 Replies
20K Views
Habari wandugu wa jamii forum. Yupo binti mmoja tuliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi hapo..awali kutokana na sababu mbali mbali tukajikuta kila mtu anashika njia yake. Upande wangu, sikuwahi...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Wakuu Huyu mtu profile last seen august mwaka jana hivyo kama amechange id naomba ani pm nimemiss sana aisee BARIKIWA
0 Reactions
3 Replies
846 Views
  • Closed
Habari, Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema...
5 Reactions
326 Replies
43K Views
Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo, sex sometime kama ikitokea kila mmoja kavutiwa na mwezie uwe umeoa or hujaoa vyote sawa just a friend uhuru wa kuwasiliana utazingatiwa Ila wawe na...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari za Leo Wana Jamii Forum Wenzangu? Natumaini Wikiend imeanza vizuri kwenu na jumamosi inaenda poa. Naombeni msaada wa mawazo yeni ili nimshauri huyu jamaa yangu ambaye amepatwa na jambo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu za weekend? Nimefanya majaribio kwa wanaume wawili niliwapa offer ya papucha wamekuwa na tabia ya kulia na kutoka miguno kitu kiilicho nishangaza sana. Unakuta mwanaume anatoa miguno...
13 Reactions
369 Replies
45K Views
Habari za leo wana MMU, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, Nimekuwa nasumbuliwa na hili tatizo kwa mfululizo. Kwanza niweke wazi kuwa sijaoa, na kipindi cha nyuma nilikuwa napata hizi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Aina hii ya JICHO ni adimu Sana na linatokeaga kwa Msimu kama Mlipuko wa Kipindupindu... Na ukiliona jicho hili ujue UMEGUSA WEREVA IKAGUSIKA Sawa sawa sio zile za kufeki MTU analia mlio kama...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Mchafu wa asili ila ana roho nzuri sana hasa ya kusaidia Ana tabia ya uwizi ambayo kuiacha ni ' mtihani ' ila ni Msafi na mpenda Usafi Mpole / Mtulivu kwa tabia lakini ni mjinga / ngumbaru kiasili...
-1 Reactions
15 Replies
2K Views
Inashangaza
3 Reactions
269 Replies
27K Views
Wana MMU salama? Mapenzi ni kitu kitamu lkn pia ni kitu kichungu sana kuliko chochote
2 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu za usiku husika na kichwa hapo juu basi bwana nilikua na x wangu kabla ya kumpata huyu nilienae yani ukimdekea tu kidogo kwenye sim hapo yupo job au mpo home jamaa anamind hata kukubembeleza...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
katika swala ambalo huwa wadada wanajisahau ,Ni namna gani ya kumhandle mtoto wa kiume ,Wengi humchukulia mwanaume kama chupa ya chai,Wakuburutwa burutwa na wakati mwingine kumtikisa Tikisa kama...
11 Reactions
75 Replies
5K Views
Katika kuchunguza kwangu nimegundua wanaume wengi wanaooa ndugu zao, mfano mtoto wa baba mdogo, mtoto wa mjomba nk. Hawajui kutongoza na hata kama wanajua basi ni waoga na wanapenda kitonga. Watu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama mada ilivyo nahitaji kufahamu ni muda gani unafaa kujamiiana na ni muda gani haufai wakati mwanamke anapokuwa na mimba? Na je kuna madhara yoyote kwa mama au mtoto, mama mjamzito anapofanya...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Back
Top Bottom