Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Habari zenu
Leo naomba maoni yenu kuhusu hili jambo
Ni hivi:
Kuna dada yangu anatarajia kuolewa, harusi imepangwa kufungwa mwezi wa 10 ila ishu ipo hivi.
Amezaa na huyo mwanaume mtoto 1 na wameishi pamoja miaka kama 5 hivi.
Mahari imetolewa mwezi wa 6.
Kuna tofauti imetokea,kuna wengine wanasema "Kitchen Party" inatosha ila wengine wanasema inabidi "Send off"
ifanyike.
Ila wajomba wanasema hiyo "Send off" haina haja maana wameishi pamoja muda wote huo.
Maoni yenu kuhusu hii:
Je, Kuna umuhimu wowote wa kufanya "Send off"?