Demu mzuri wa kuwa nae anatakiwa asiwe na tabia hizi :

jangala

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,583
2,362
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
 
Mbona ndio swafi....! mimi natafuta wa design hiyo aiseeeee... Sio unakuwa na mwanamke hata Waziri Mkuu wa Tanzania Hamjui kwa sasa ni nani!!

Demu story zake za wema sepnga tu huko instagram mimi wa kazi gani!!!!
 
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
Unaweza Mkuta Mwanamke ajuhi movie wala mchezaji hata mmoja ila muulize kuhusu wanaume wa mtaani anawajua wote hadi waliohamia jana ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom