Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,599
Hawa watu maarufu kumbenni waongo hivi wanatangaza majani ya chai yanasaidia tumbo liwe flat kumbe wala hata sio,Rob kardashian kawaumbua baada ya kuweka wazi baby mama wake chyna alifanyiwa upasuaji baada ya kujifungua ili shepu iwe nzuri na tumbo liwe la kuvutia,halaf wakiwa insta wanatuonyesha majani,,watu wamejua sasa hayo majani yenu sasa hatutaki mtuache tulivyo,,
Mtu anakunywa chai ya hayo majani na anapiga squat za kutosha lakin tumbo haliwi kama la chyna au Kim,kumbe wanatudanganyaa wee
Tunamshukuru Rob kwa kutusaidia kujua
Mtu anajinyima kula anashindia mboga mboga mpaka unakuwa unanukia majani mabichi tu mwili wote lakin tumbo lipo pale pale Mungu anawaona washushe hizo bei za surgery na sie tuwe na maumbo kama ya kina chyna aisee,, Miss Natafuta @jestikila Evelyn Salt mkuje hapa
 
Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
 
Hawa watu maarufu kumbenni waongo hivi wanatangaza majani ya chai yanasaidia tumbo liwe flat kumbe wala hata sio,Rob kardashian kawaumbua baada ya kuweka wazi baby mama wake chyna alifanyiwa upasuaji baada ya kujifungua ili shepu iwe nzuri na tumbo limbioni kuvutia,halaf wakiwa insta wanatuonyesha majani,,watu wamejua sasa hayo majani yenu sasa hatutaki mtuache tulivyo,,
Mtu anakunywa chai ya hayo majani na anapiga squat za kutosha lakin tumbo haliwi kama la chyna au Kim,kumbe wanatudanganyaa wee
Tunamshukuru Rob kwa kutusaidia kujua
Mtu anajinyima kula anashindia mboga mboga mpaka unakuwa unanukia majani mabichi tu mwili wote lakin tumbo lipo pale pale Mungu anawaona washushe hizo bei za surgery na sie tuwe na maumbo kama ya kina chyna aisee,, Miss Natafuta @jestikila Evelyn Salt mkuje hapa
Ila dada zangu mnahaha nyinyi, kwa kweli mnawafuatisha watu maarufu kuishi maisha yenu ungewafahamu hao wakina nani nani sijui ni wakina nani na wapo kufanya nini usingewaita masocialite wala watu wakuwafuatilia maishani. Just be yourself na kama huwezi basi ukazane kweli kuwafuatilia maana wana mengi ya kuwaweka mbioni mkihaha [HASHTAG]#NoOffense[/HASHTAG]
 
Ndio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.
Duh! Vyote hivyo [emoji15] [emoji15]
 
Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Hahahahaha naona vera kaongeza unene wa papa..!!
 
Jamani lakini mbona hao hawajawahi kuficha kua hua wanafanya surgery?
Kama ulianguka kwa kumwamini celebrity kwa hayo maneno ni kwamba kosa ni lako, hata ukigugo kidogo tu utakutana na articles chungu mbovu zikizungumzia surgeries zao.
 
Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Kumbe gym wanaenda kupiga picha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila dada zangu mnahaha nyinyi, kwa kweli mnawafuatisha watu maarufu kuishi maisha yenu ungewafahamu hao wakina nani nani sijui ni wakina nani na wapo kufanya nini usingewaita masocialite wala watu wakuwafuatilia maishani. Just be yourself na kama huwezi basi ukazane kweli kuwafuatilia maana wana mengi ya kuwaweka mbioni mkihaha [HASHTAG]#NoOffense[/HASHTAG]
Nyie ndio mnatufanya tunahaha na kututukania matumbo yetu
 
Jamani lakini mbona hao hawajawahi kuficha kua hua wanafanya surgery?
Kama ulianguka kwa kumwamini celebrity kwa hayo maneno ni kwamba kosa ni lako, hata ukigugo kidogo tu utakutana na articles chungu mbovu zikizungumzia surgeries zao.
Kuna majani wanakuwa wanatangaza kuwa yanaondoa mafuta tumboni na linakuwa flat,,,kumbe hakuna kitu wao wanaenda kufanyiwa upasuaji ,gym wanaenda piga picha tu
 
ha haaa haaaa mbona u ashangaa au we sio muumini wa hayo majani?
Mie kwa kweli ni mwoga sana kutumia dawa dawa au vitu kwa ajili mara kupunguza unene mara kuongeza makalio, mara kupunguza matiti au kuongeza hapana. Najikubali
 
Ndio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.
Kwa hiyo mix lazima tumbo litutumke,na hapo hujaweka supu na chapati 2 kila asubuhi,utasikia anasema "yaani mi nashangaa hili tumbo linatoka wapi,yaani jinsi ninavyojitahidi kutokula hovyo hovyo hata sielewi"...
 
Back
Top Bottom