relato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 689
- 986
Wakuu,
Many times nimekuwa nikifuatwa na Marafiki zangu pengine Marafiki zangu wanawaleta Marafiki zao niwape ushauri kuendana na hali ngumu wanazozipitia hasa katika mapenzi.
Wapo walioachwa,wana maumivu makali Sana mioyoni mwao. Wapo Hata walioko katika njia panda na kuniuliza Lato nifanye nini?
Kwa mfano:-
Nakumbuka kuna kipindi ilikuwa sikukuu ya Christmas (kipindi nipo chuo) nikarudi zangu nyumbani nilikuwa nakaa jiji mmoja na sehemu niliyokuwa ninasoma.
Rafiki yangu Ali break up na mpenzi wake,aliniomba nirudi haraka Sana ananihitaji Ana shida Kubwa mpaka akawa analia kwenye simu,huruma tumeumbiwa binaadamu,hasa pale rafiki,ndugu au jamaa anapoongea in breaking voice (u feel like it's your burden too).
Aliponiona akanikumbatia akaniambia he is gone. What can I do?,akataka kulia nikamuuliza unajisikia kufanya nini sasa hivi??. Akaanza kulia huku akija kunikumbatia.
Nikamfuta machozi kwanza,nikamwambia subiri. Nikatoka nje nikatafuta Bajaj tukatoka maeneo ya pale,nikampeleka ufukweni,tukakaa Kama dakika 30 hakusema kitu,baadae akaniita jina langu(...) Relato,akashindwa kuongea machozi yakaanza kumtoka,then akajishika kooni pake nikamwambia...
First: nisikilize
Second: don't say a word.
Third: u want to cry,then please cry and sob.
Alilia Sana kwa muda mrefu kiasi then akanyamaza,nikampa maji ya kunywa akanywa Lita nzima kwa mikupuo miwili tu.
Nikamshika mkono,tukaamza kutembea akinielezea kisa. Huku akitokwa na machozi kidogo Sana ambayo hayakumzuia kuongea.
Akaniambia,I'm virgin,hawezi kuwa na Mimi kwa sababu nilimwambia hatutaweza kusex mpaka tufunge ndoa,mwanzoni alisema sawa,na tukawa tunatembeleana,we have lunch and supper sometimes, we kiss dry and wett kiss then kila mtu anarudi hostel kwao. Akasema about a couple of months ago he acts weird. Yaani akabadilika sana,then Jana akanambia anataka Ku confess some of things,like jamaa anakunywa pombe of which alimwambia hanywi,then akamwambia hawezi bila sex which means ana f@ckmate and they did many times,akamwambia there is a lot of series of cheating episodes, naona haunifai na sifai kuwa na wewe,siwezi kusubiri mzigo mpaka ndoa kisa you're virgin. That's the reason. Kwa ufupi Sana ni hivo.
Nikaongea nae kwa muda mrefu Sana lakini since tumetoka pale she was strong akawa anajiuliza sasa nilikuwa nalia nini?
Huwa sijui ninayatoaga wapi maneno ya ku encourage, yenye hekima na busara ambayo yanakuwa nafuu kwa mtu.
Ushauri wangu,sio lazima iwe jambo la mapenzi lakini. kuieleza shida ni mojawapo ya kupunguza shida. matatizo kills us inside,yanaleta upweke,fedheha na mambo mengi mengi.
Choose someone you can talk to,upate amani ya moyo,na upate ushauri wa kutatua jambo.
Nb: sio kila mtu yupo tayari kushirikishwa au kusikiliza au kusaidia matatizo ya mtu mwingine. So be carefully.
Nawapenda.