Wakuacha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 2,046
- 1,337
Habari wana jamvi,
Toka nianze likizo nina takribani wiki nikaona si mbaya nikienda kutembea mkoa wa Kigoma.Nipo Kigoma kwa sasa hapa wilaya ya Kasulu,kiukweli kuna kitu kidogo kimenishangaza hapa Kasulu.
Kila mtoto mzuri tayari ameshazalishwa na mimi kwa kweli huwa naamini kutembea na mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine ni mkosi mkubwa sana maana katika kabila langu lazima ukoo ukutenge.
Hivi nini tatizo jamani la hawa wadada wa huku aiseee! Kuzalia nyumbani ndo nini sasa,wanawake kama kumi na tano wote wamezalishwa.
Nimeshangaa sana alafu umri wao hata sio mkubwa miaka 19, 20 halafu ana umri huo mtoto wake ana miaka 5.
Kwahiyo utagundua wengi wanakuwa na watoto wakiwa na chini ya miaka 15.Inasikitisha ninyi watu wa Kigoma washaurini dada zenu waache kuzaazaa hovyo angali bado wadogo.