gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Habari za j3 wapendwa wangu,
Asbh hii naleta kisa hiki kama funzo kwetu na pia kuweza kueleweshana juu ya hali halisi za baadhi ya maisha ya ndoa. Ukweli ni mbaya sana but imenipa sura nyingine kabisa juu ya maisha haya. Tena hapa The Boss huwa anasemaga wanaume tunavumilia sana wanawake give yourself break and come to see this.
Ilikuwa siku a j2 ambayo maeneo meng ya Dar kulikuwa na sherehe za vipaimara. Siku hiyo dada mmoja say anaitwa Ziada alikuwa na mtoto wa dada yake ambaye alikuwa anapata kipaimara so akawa amealikwa kwenye sherehe hiyo. huyu dada kaolewa na bwana mmoja say anaitwa Juma. so Ziada akamwambia Juma juu ya sherehe hiyo na kiundugu wote wanawajibika kuhudhuria.
bwana Juma alilazimika kwanza kwenda kazini kwake ili atafute japo pesa ya zawadi ilihali mkewe atangulie kwenye eneo la tukio na akisha maliza kazi basi, bwana Juma angem-join mkewe kwenye sherehe. mambo yaikwenda as planned kiukweli na muda wa sherehe kuanza bwana Juma alikuja na rafiki yake mwingine wa kiume.
haya sherehe ikaendela huku watu wakiserebuka pasi na shaka, katika hali ya stori hivi shemejiye bwana juma wa kike akamwaabia shemeji mbona huyu rafiki yako hasomeki? mbona kama jamaa si riziki? Juma akamtetea kweli huku akiwaaamba kabisa achaneni na mambo ya watu bana nyie mmejuaje. utetezi ulipozidi basi ilibidi shemeji mtu pamoja na dada mtu (ziada) ambaye aliingilia mada wakae kimya kwa kukubali kushindwa kamba kijana wa watu si mfuasi wa camerun.
baada ya mida kusonga san bwana juma akamwambia ziada twende zetu nyumban, mke akamwambia bwana yanipasa nimsaidie dada kazi za hapa nyumban japo kuingiza viti ndani na kuosha vyombo ndipo nije.Basi bwana Juma ikabidi amchukue rafiki yake wa kiume waondoke with hope kwamba mkewe Juma atapanda hata pikipiki ili kurudi nyumban manake si mbali.
baada ya kazi mishale ya saa 4 Ziada akarudi kwake kufika akakuta taa za ndani zimewashwa na akigonga mlango hakuna anayekuja kuufungua, ikabidi azunguke dirishan manake aliamini mumewe kalala kwa ulevi so akimgonea dirirshan angeskia. uthibitisho wa kwamba kuna mtu ndani ani pamoja na redio iliyokuwa inaongea. Basi Ziada kwenda dirishan anaskia sauti za ajabu kutoka chumbani kwak kuendelea kuskiliza ni sauti ya mwanaume inalalamika kweli kuuskia utamuuuuuuuuuuuu wa mpera, kwa panic Ziada akapata kizunguzungu akajikaza hadi kwa jiran akakaa akasingizia anaumwa moyo unamuenda mbio so anataka apatiwe maji apumzike kwanza.
basi jiran akampatia maji ya kunywa, huku bibie akitokwa na jasho mwili mzima jiran akamwambia kuna tatizo bibie akajibu hapana ni presha tu inanisumbua. basi akakaaa pale mlangoni mwa jiran hadi baada ya muda kidogo, akanyanyuka kusogolea kwake akaskia maji ya bafuni yanamwagika akajua ndio wanaoga hawa basi akarudi kwa jiran akajikaza kisabuni pasi kusema kwa mtu hadi wakamaliza kabisa. kisha akaona mumewe anafungua mlango anatoka na mwanaume mwenzie yule yule waliyekuwa nae kwenye sherehe kumsindikiza, yeye mwanamke akanyunyuka kauingia ndani kwake, bila hata jiran kuagwa kufika chumban akakuta uchafua wa ajabu, but alichofanya alitoa shuka zake akakusanya na ule uchafu wote kisha akakaa pale kitandan akaanza kulia kwa uchungu sana.
baada ta dk kama 5 hivi mume akarudi kuingia tu ndani na kumkuta mkewe alipata mshtuko ina kuanza kusema hakya Mungu mke wangu sijafanya kitu. mkewe akamwambia sijasema umefanya akafunua ile shuka akamuuliza je huyu ni nani aliyefanya haya? mume hana la kujibu. zaid kuomba msamaha tu.
Lakini bana cha ajabu mke alisamehe kabisa, na yeye alisema hivi nimetumia nguvu zangu zote za ujana ili kutengeneza maisha haya sasa leo hii nikiondoka kazi yangu yote inakuwa ni sifuri? je nikiondoka watu wakijua eti mume alimfededa mtu watanichukuliaje? nilipokubali kuwa msiri wa mume wangu je nilitegemea nifiche siri gani?
Kiukweli hii habar ambayo ni ya kweli imetokea, ingawa majina nimeyabadili imeniumiza sana sana. nikasema wanawake tunavumilia mengi sana. enyi wanaume tuoneeni huruma jamani...........

Last edited by a moderator: