Mapenzi haya

Mapenzi haya

Amekurupukaje sasa?
inaonekana kaomba namba kwa gia nyingine, kapewa anaingia na gia nyingine. hebu mwambie atupe ubuyu kidoko kwa kile kilichosababisha akawa blocked bado anatuma msg
 
inaonekana kaomba namba kwa gia nyingine, kapewa anaingia na gia nyingine. hebu mwambie atupe ubuyu kidoko kwa kile kilichosababisha akawa blocked bado anatuma msg
Haha labda hapo atudadafulie kidogo ilikuaje
 
duuh! acha kuchukulia mapenzi kama kitu compulsory mkuu, kitakuumiza sana. Kifanye kama subsidiary utainjoyi kuwa duniani.
 
Mpe muda ataku unblock,naamini ni hasira tu bila shaka mlipishana kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom