Kwako hali ikoje kwa swala zima la matumizi ya CONDOM!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Kadude kadogo lakini kasumbufu kweli. Kanatiaga uvivu.

Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba anatumia lakini mtu huyohuyo ikipita miezi 3 unashangaa ana mimba unabaki kujiuliza alikuwa anamvalisha kwenye kidole gumba ama?

Yaani unaweza ukakanunua vizuri tu. Unaenda nako mpaka gesti vizuri tu. Unakatoa mfukoni unakaweka chini ya mto pale kitandani kujiandaa na mechi vizuri tu lakini mwisho wa siku unajikuta umechakaza rim.

Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko njia panda ya ifakara. Mbalii balaa!

Halafu inavyoonekana wanawake wengi hawapendi condom ila huwa wanauliza kuzuga tu ili na yeye aonekane aliuliza swali "baby una condom?"

Ukimwambia sina utamuona anazuga kama kamaindi hivi halafu anajifanya anakupa solution,"basi nakuomba usinyunyizie ddt,umwagilie maua nje ya bustani plz niko danger".

Uwe Danger umekuwa transfoma ya umeme! Ukimaliza utamsikia,"halafu wewe sijui ukojeeeee muone vile"mshachakaza rim.

Shikamooni wazee wa kwenda na pakti 3 na unarudi nazo zote 3 zikiwa pakti mpya. Shikamooni wote mnaosemaga mnatumia halafu mna mimba miezi 2 leo. Shikamooni na wale ambao mna sababu za kisayansi kwelikweli
"baby mi nikitumia condom napata allergy na fungus.

Uonavyo wewe, Je wasichana waki Tanzania, wanamsimamo linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kutumia kinga? Vipi kwa wanaume nao, msimamo wanao!? Nini maoni yako!?
 
Kinga ni muhimu mno aisee

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
MKUU,

PAMBANA NA HALI YAKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote jinsia ya Kiume ndio mwenye maamuzi ya mwisho.

Na ukiwa Mtu wa kuchukulia poa, nakwambia Utaumia.

Kama huamini kuwa nayo Zana.

Halafu jifanye kama unataka kwenda Peku mwenzio utaona hana hata kauli, na hapo ushanawa nawa sana anasubiri Uweke.

Kuweni makini, usikubali akili yako iendeshwe na Kichwa chako cha chini
 
Back
Top Bottom