Habari za muda huu wana MMU
Mimi Nina tatizo moja siwez kukaa na watu,naitaj kukaa mwenyew zaidi kuliko kua na MTU yoyote, nimepitia tragedies nying hasa mapenzi,..ata mpenzi Wang wa sasa,amekata...
Za leo,
Mimi ninamsaada kidogo wa mawazo.
Utamkuta mdada umri unaenda yupo na watu hawana mpango wa kuoa yeye amawahonga anawang'ang'ania anajipotezea muda wake hapo.
Hivi una umri 35- 36. Upo...
Habari za jioni waungwana Mimi na familia yangu Alhamdullilah tunamshukuru M/Mungu kwa neema na Rehma zake.
Mimi ni mmoja wa wamama ninayeishi na mdada wa kazi (house girl) ninachotaka kuwaasa...
Ndoa ni jambo lilokuwepo tangu enzi na enzi. Limeelezwa kama jambo jema na kwamba mwanadamu yeyoye yule aliyehai basi ktk hatua fulani ya maisha ni lazima ulipitie. Iwe ni mafundisho ya nyumbani...
Naitwa Baraka umri miaka 27 mkazi wa kitunda hapaDar, nahitaji mpenzi umbo lolote ila asiwe mwembamba sana awe mnene wa wastani na awe mkweli na mwelewa, kwa aliyetayari tutafutane kwa namba hii...
Nisaidieni jamani huyu ni mwaminivu au natapeliwa kimapenzi?yaani mpenzi wangu nikiwa Naye kupeana jamboz tukimaliza tu pesa ukimpa 20000 analalamika bila kushukuru na anakwambia kesho unipe tena...
[emoji121]
WAKUU,
SIDHANI KAMA KUNA TATIZO LOLOTE KUBANA MATUMIZI KAMA HIVI NILIVYOFANYA KWA UPEPO JINSI ULIVYO KWA SASA.
HAINA HAJA YA KUONEANA HAYA HAPA!
EEEEEEEH!!!/...
Amani na upendo viwe na nyinyi ndugu zangu, kwa heshima na taadhima naomba kueleza juu ya itaji langu la kutafuta mke wa kuoa. Nimevutiwa kufanya hivyo baada ya kuona wapo wana jamvi ambao kuptia...
Habari zenu,
Hivi mtu anaposema ameolewa lakini hajafunga ndoa ana maana gani?
Hii ni ndoa ya namna gani?
Naomba mnieleweshe maana naona uzee huu unanifanya nisielewe mengi ya mjini, halafu...
Habarini Wakubwaaa!!
Hongereni wanawake kwa siku yenu. Tunawapenda Sana kwani ninyi ndio furaha yetu, amani yetu, utulivu wetu. Bila ninyi dunia hatujui ingekuwaje.
Basi baada ya machache hayo...
Kipindi cha nyuma watoto wa shule na dada zetu kwa ujumla walikuwa wakipewa ''vibendi'' sababu ya chips yai.
Siku hizi chips yai imeshuka hadhi, siku hizi utasikia dada zetu ''leo nina hamu ya...
Tangu niwe na mpenzi wangu ni miaka miwili sasa imekatika, tumekuwa tukigombana mara kadhaa na mengine makubwa zaidi ya hili lilotokea sasa, yaani ilikuwa juzi nilipokutana na msala fulani kazini...
Mimi ni mwanaume, nina miaka 31. Ninatafuta Mwanamke wa kuoa. Umri 24 hadi 27, Mkristo. Kama upo serious, ni pm. Kejeli sitaki! NB; Post inawahusu wanawake tu; mwanaume usiandike chochote hapa
habari ndg wa jf..nimatumaini yangu mko salama nami pia niko vzr kiafya japo kimawazo nikizungumkuti...
nihitaji kutoa historia fupi ya maisha yangu inayonifanya nijione tayari mm ni looser...
Rais Adai Nyama ya Nguruwe Ina Nguvu Kuliko ViagraRais wa Argentina, Bi. Cristina Fernandez amedai kuwa kula ya nyama ya nguruwe kunaongeza nguvu za kimapenzi kuliko viagra.
"Niliambiwa kitu...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta msichana ambae ni mpweke na mwenye upendo wa kweli anayetafuta utulivu wa nafsi na mwenye tabia ya kupendeza, hofu ya Mungu na...
Kuna bint nliwahi kumpenda mnoo...nimemfukuzia kwa kipind kirefu bila mafanikio... kila nikimtongoza anakataa lakin akawa haachi kunitafuta kwenye simu.
Katika kipind chote hko ilikuwa inaonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.