nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Mapenzi buana...hahahhaha ngoja nicheke kwanza, yaani wakati unamfuatilia ili awe mpenzi wako unatumia nguvu sana, ukikaribia kukata tamaa mara nyingi ndio huwa tunafanikiwa, tukishaingia kwenye mahusiano kwa muda fulani mambo yanaenda sawa sana, baada ya hapo mnazoeana, hapa ndio hasa penye tatizo vile vitu vile vyenye mwaona serious mwenzako anachukulia poa, ameshakuzoea yaani hadi anakuona wa kawaida bora hata na jirani au mpangaji mwenzako ndio anaheshimika zaidi.
Mapenzi ya kipuuzi sana, bila sababu utaona mnanuniana visababu vidogo hata havisimuliki, migongano inapelekea wengine kukata tamaa ndio hapo penye picha ya kutisha, narudia tena picha ya kutisha pale mmoja amekata tamaa kanatokea kabazazi ambako kanajua kabisa kanataka kumtumia mtu intentionally lakini kanajifanya ni kafariji namba moja, katafanikiwa, hapa ndio panaitwa kufa kufaana, au umwa nikuuzie dawa na mengine mengi.
Mtu akishagegedwa kuna kitu kinaitwa second fall hapo mtu anakatishwa tamaa mara ya pili kinachotokea ndio maneno haya ya kihenga "baba yao kipofu" na "wanaume wote ni walewale"
Sasa tuje kwenye suala la msingi, hivi kuna jambo linaweza kufanyika ili watu wabaki wanaheshimiana milele hichi ndio kitu cha kwanza kabla ya hata siasa tunayoona inakiki sana toa mchango wako unisaidie au utusaidie kwenye mahusiano yetu wote tunajifunza naamini, hakuna mkamilifu maana karibia wote tuna maEX Girlfriend and EX boyfriend mapovu hata nisiposema yasiwepo lazima yatakuwepo tu, hawa ndio wale wenye stress zao mubashara.
by emma mjasiriamali