Kuongezeka kwa michepuko (nyumba ndogo) nini sababu

Kuongezeka kwa michepuko (nyumba ndogo) nini sababu

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Hi wana jukwaa
Naina hili jambo linashika.kasi sana duniani
Haswa tanzania yetu
Miaka ya zamani hili jambo halikua kubwa
Na asilimia 70 au 80 ya wachepukaji jinsia.inayoongoza ni ya kiume
Siku hizi kila mwanaume kati ya.5 wenye wake zao 3 wana michepuko
Hii hali ni tishio.sana
Chanzo au sababu ya kuongezeka kwa uchepukaji ninini?
Nashindwa kuelewa tatizo ninjni? Na kwanini linakithiri miaka hii?
Haswa wanaume ndo wachepukaji wakubwa pamoja na kuwa na wake zao
Jee sababu ninini haswa michepuko kuongezeka.miaka ya hivi karibuni?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Halafu ukichunguza sana utagundua kuwa wanaume maskini au middle class ndio wanaochepuka sana.

Jiulize kwanini

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Tamaa za mwili, kukosa misimamo, kukosa shughuli za kufanya na kuwa na muda mwingi wa kuwaza ngono.
 
Wamama wanatulazimisha maofisini kwao huko tunawadinya tu hakuna namna
 
We Ni mwanaume ?? Au mwanamke???

Kama Ni mwanaume rijali kwann hujui jibu? Aghhhhr
 
Halafu ukichunguza sana utagundua kuwa wanaume maskini au middle class ndio wanaochepuka sana.

Jiulize kwanini

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Tena wenye pesa ndo wanaongoza haki ukimkuta mume mwenye pesa ambaye hachepuki ni bahat

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Tamaa za mwili, kukosa misimamo, kukosa shughuli za kufanya na kuwa na muda mwingi wa kuwaza ngono.
Kuna haja ya kuanzisha darasa la mahaba

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Ukiona mtu anachepuka ujue ni limbukeni wa wa mapenzi... Penda penda...

Uchepukaji ni tabia ambayo mtu hukua nayo toka pale anapoanza balehe... Tamaa mbele..


Cc: mahondaw
 
Mto ngono ni starehe ya maskini.
Hakuna mbadala wake.

Wewe , chunguza wachepukaji wengi utagundua kabisa uchumi wao ni majanga.
Mfano mshahara wa 250,000/= - 3m.
Lakini mtu salaries kuanzia 5m kwenda juu hii rank ni mawazo ya kazi na hela tu.

Afrika ukiona mtu ana hela ( green package ) bado anachepuka ujue karumanzila yuko kazini.
 
Inasikitisha sana...

Ukiona mtu anachepuka ujue ni limbukeni wa wa mapenzi... Penda penda...

Uchepukaji ni tabia ambayo mtu hukua nayo toka pale anapoanza balehe... Tamaa mbele..


Cc: mahondaw
Kwa Smart911 sina sababu ya kuhangaika hangaika kokote pale, kwa mwanaume yeyote yule sinaaaa!

He's self contained

Mahondaw wa Smart911
 
Tena wenye pesa ndo wanaongoza haki ukimkuta mume mwenye pesa ambaye hachepuki ni bahat

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Tofautiana maono! Average joes ndio wana michepuko mingi sana haujui hilo.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Back
Top Bottom