Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

I can't wait to meet you my dear future husband...Nitakutunza na kukuheshimu maisha yangu yote. Your parents will be mine and your relatives and friends will be mine as well... Nitakuwa na wewe...
27 Reactions
210 Replies
13K Views
Wakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima. Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu..... Ni kijana mwenye umri wa miaka...
1 Reactions
69 Replies
8K Views
Habari ya sikukuu ya nane nane wakuu. Naomba nichangie(share) na ninyi uzoefu wangu wa miezi kama 2 hivi au 3 ya kua na mwanamke mmoja. Kwanza kabla ya yote naomba kutangaza maslahi, mimi bado...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Mm ni mtu wa over 40 yrs natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi pia, sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu. Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamani walioko mbeya wadada nipe kampani japo nilijue jiji na mataa yake Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
923 Views
1: Ni ajabu kumwita mwanaume wenzako 'my' Hii ni dalili mbaya sana kwa mwanamme aliekamilika unless uwe 'marindales' Ety 'My' wangu nambie!!!! 2: Ni ajabu kumdonyoa mwanamme mwenzako anapokupa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Je wewe unadhani simu za mkononi zinaboresha mahusiano ama ndo chanzo cha uovu katika mapenzi na ndoa zetu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni jambo lililozoeleka kwa wengi, Baada ya kufunga ndoa au katika mahusiano kila inapoitwa leo mapenzi huzidi kupungua na ubunifu katika mapenzi baina ya walengwa hudumaa kabisa je unazani ni nini...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Hawa mamiss! Mfano miss Tanzania,miss World,je ni vigezo gani vya kuwapata hao?Na je kama mtu hana bikira naye anaitwa miss?
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Mode naomba msifute au kuhamisha huu uzi. Mwezi June niliwahi kusimulia kisa hapa Msaada juu ya PEP Wiki saba zimepita sasa toka nilipopata exposure na pia ni wiki tatu Sasa tangu nimalize...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kweli haya mashindano ni mazuri sana wadada wakali, shepu za kimiss ndani ya vichupi wakicheza michezo mbalimbali safi sana mmefanya wikend yangu iwe tamu mpaka sasa aangalia marudio wakati...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku hizi hata kama unasura mbaya ama uwe mzee sana kama una pesa unapata mwanamke,kina dada hawaangalii cv,wala upendo toka moyoni,zamani hii haikuwepa sana,lakini kwa sasa mwanamke anajishebedua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Unakuta umemtongoza msichana na mkajikuta mmeingia kwenye mahusiano ambayo hayana hata mwezi mmoja na kibaya zaidi hata papuchi yake hujaionja lakini haishi kukupiga mizinga kila uchao. Mara...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Namsaka mwanamke ambaye anatumia mafuta ya kawaida kama rays,baby care au anayepaka parachichi usoni ama mafuta ya asili kama nazi.je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale mapenzi ya dhati,wewe kama kaka,je unaweza ukazama hadi kunyonya uke wa mpenzi wako ili umpandishe mzuka,unadhani kama huna mapenzi ya dhati unaweza kufanya hivyo,na kwa kina dada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Staff mate wangu ambae ni ke leo kamnunulia mume wake shati jipya la elfu kumi.Nimeumia na kuona wivu kwani mimi tangu nianze mapenzi sijawahi kununuliwa hata bublish. Haimaanishi kwamba napenda...
5 Reactions
90 Replies
9K Views
JE, MNANISHAURI NICHUKUE HATUA GANI? MUNGU AWABARIKI WOTE MTAKANISHAURI. ASANTENI. Sent using Jamii Forums mobile app
20 Reactions
149 Replies
11K Views
napata tabu sana kuona kila uchwao rafiki zangu wana break up na wapenzi wao, n kama mahusiano siku izi yamekua kitu flani chepesi kuwa u can just forget and move on kudate mtu mwingine. kwa watu...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom