Heshima kwenu wakuu.
Utafiti umedhihirisha kwamba mwanaume akiwa na mpenzi mrembo, basi wanawake wengine humwona kuwa mzuri au ana mvuto zaidi. Utafiti ulifanyika katika awamu tatu;
Kwanza...
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu, wanawake wa Dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.
Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe...
Za jioni wakuu,
Kiukweli nimekuwa katika sintofahamu ya jinsi ya kuwasaidia hawa Dada zetu walio olewa.
Nimekutana na mdada rafiki yangu katika kuongea akanipatia namba ya simu lakini...
Sina haja ya kusalimia ngoja niende kwenye tatizo moja kwa moja
Nina mpenzi wangu wa siku nyingi toka 2006
Yeye ni chotara baba mwarabu mamaye mnyaturu wa singida
Huyu Dada nilimbikiri mm...
Nahitaji rafiki wa kike, hii inaweza isilete maana nzuri kwamba pengine sipo serious, ila kuna wakati unajikuta hauna neno jingine la kusema zaidi ya hilo.
And this is very serious, tangu...
Heshima kwenu wakuu,
Kwanza nianze kwa kutoa Onyo: Komeni kusema Wanaume ni Wakorofi. Ukiona mwanaume Mkorofi, jua wewe ndo Chanzo. Wanaume wameumbwa na roho ya Kimungu ya unyenyekevu mkubwa...
Nlikuwa safarini kikazi leo jioni hii nmeingia dar. Kabla ya hapo nlikuwa nachat na mama mkwe kumsalimia maana afya yake iliyumba kidogo. Nikaamua pia kumtumia wife msg aina flan ambazo hutumiana...
INAKUHUSU MWANAUME!!
UKIFANYIWA KITU MBAYA USILALAMIKE
Ulimuona binti ukampenda ama ukamtamani mie sijui, ukamfuata na kumtongoza lakin akakukataa kwa vile alikuwa hajui kama unampenda kweli...
Ni masister wakikatoliki walioweza kumshinda adui shetani katika kuzikabili tamaa za mwili,wengi tuliochagua upande wa kuujaza ulimwengu kwa asilimia mia moja naamini hakuna hata mmoja aliyeweza...
Journey to hell (SAFARI YA KUZIMU)
Mtunzi: Greyson H Mtingwa
Contact: 0742893359
Sehemu ya kwanza
Baada ya kumaliza masomo yangu ya udactari katika chuo kikuu kilichopo katika mji wa California...
Mipango ya dhambi nyingi tunafanyia kwenye simu siku hizi. Ndiyo maana wengine tunajitahidi kuhakikisha tunatunza simu kama mboni ya jicho, kwamba haiguswi zaidi na yeyote - zaidi yetu wenyew...
Mapenzi yako kwake yalianzia kwenye daladala baada ya kuvutiwa na urembo wake. Namba ya simu uliyoichukua ndiyo iliyowafanya leo hii mtimize mwaka mmoja ndani ya mahusiano yenye mapenzi motomoto...
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni Dr
Nimeajiriwa, mweupe ,sio mnene
Mrefu, mkristo
Naitaji mke asiwe awe angalau amefika form six asiwe mwembamba Sana mkristo, mwaminifuu unaweza uka ni DM au my...
Ni wazi wengi wetu tumeashawahi kusikia malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanawake wakisema, kabla hatujaoana alikuwa malaika kabisa, yaani alikuwa ananifanyia kila kitu hadi siamini, lakini leo hii...
Imezoeleka kua Raha ya Dunia inapatikana pale watu hawajavaa nguo. Hata hivyo utafiti unaweza kukushangaza ambapo, ubongo umeonyesha kua miguu ya baridi in kipingamizi cha kufikia kilele(orgasm)...
Wakuu kama bichwa la Uzi linavyojieleza hapo juu
Sielewi kama nimerogwa,nimekua addicted au sijui nifanyaje niache nyeto( Punyeto,Puli)
Nlianza kupiga puli yapata miaka 15 iliyopita wakati huo...
Nasema haya nimefanya uchunguzi nimegundua kuwa wanawake wa ss wameganyika mafungu matano
Fungu la kwanza ni mfano lapili masirahi la tatu kupatana la nne mchumy la tano nyiwa
Mfano...
Habari ya muda huu wakubwa..!!
Kama nilivyo anza juu hapo mimi natafuta rafiki wa kike yani/ girlfriend..!! Binafsi Umri wangu 24..!! Vigezo mwanamke awe na upendo wa kweli..!! Npo serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.