Je simu za mkononi zinachakachua mahusiano tofauti na enzi za mwalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je simu za mkononi zinachakachua mahusiano tofauti na enzi za mwalimu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BUMIJA, Oct 19, 2011.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Je wewe unadhani simu za mkononi zinaboresha mahusiano ama ndo chanzo cha uovu katika mapenzi na ndoa zetu
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  mie naona zinaleta urahisi wa kusalitiana na pia katika urafiki zinaboa maana unakuta mmekaa alafu mtu yupo kwenye simu anachat....
   
 3. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Je kama anachati mambo y kawaida kuna madhara
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,479
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ndo kivuli cha ufisadi kinapoanzia...!!hadi uck wa manane..chati na fesibuku...!!
   
 5. M

  Maswalala Senior Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naona ndo zinaboresha mahusiano ila ni mtazamo wangu 2
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,099
  Likes Received: 2,993
  Trophy Points: 280
  Wanaoboresha mahusiano au kubomoa ni nyie wahusika na sio mazingira!
   
 7. h

  hayaka JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni half half, kuboresha na kuharibu. inategemea na matumizi.
   
 8. u

  utantambua JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Simu ni kama kisu zina manufaa sana endapo zitatumiwa vizuri na zinauwa endapo zitatumika kinyume.
   
Loading...