Natafuta mpenzi wa kuishi nae niko serious

Karot

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
1,159
1,312
Wakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima.
Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.....
Ni kijana mwenye umri wa miaka 30 kwasasa nipo Dar Kigamboni niko na kazi yangu ila sitoitaja hapa kwa yule ambae yuko serious kama mimi ani pm tuzungumze maswali na majibu yote yatapatikana.
 
Utanisamehe kama utapata tafsiri hasi,kule kwenye jukwaa la love connect (JF) kuna watu wengi wenye mahitaji kama yako nikiwa na maana utakuta mabinti wengi wanaosaka wenza nadhani ni vyema ili kupunguza huu mtafutano ungetembelea kule alafu ukafanya uchaguzi sahihi nimeona thread nyingi naamini hauwezi kukosa mtu sahihi kule ila mukifanikiwa tuleteeni mrejesho ili tujue maana mnapotelea hewani tu.
 
Utanisamehe kama utapata tafsiri hasi,kule kwenye jukwaa la love connect (JF) kuna watu wengi wenye mahitaji kama yako nikiwa na maana utakuta mabinti wengi wanaosaka wenza nadhani ni vyema ili kupunguza huu mtafutano ungetembelea kule alafu ukafanya uchaguzi sahihi nimeona thread nyingi naamini hauwezi kukosa mti sahihi kule ila mukifanikiwa tuleteeni mrejesho ili tujue maana mnapotelea hewani tu.
sawa mkuu
 
Mods naomba mnisaidie kuuhamishia huu uzi mahali pake sahihi
 
Mkuu, leo umeniangusha sana....
Yaani umeshindwa kung'amua rangi ya muandiko kama niwa Ke au Me...
You can't be serious.....
Hahaha ushi haha.

Tatizo vijana miandiko inafanana. Kina delicious wanaremba kama dada zao.
 
Miaka 30...huko kgamboni hamna wadada wanaotaka waume wa kuishi nao?!
Mkuu usimkosoe sometimes mazingira unayoishi inaweza ukakosa mwenye vigezo unavyohitaji pia wadau wengine wako busy sana na kazi unakuta kila siku anatoka saa 11 asbh na kurudi saa 3 uck j'3- ijumaa na weekend anakuwa busy na mambo ya usafi na vitu vingine kwa hiyo anakuwa na limited time ya kumeet na girls kwa hiyo kupata mke inakuwa shida.

Jf kama mitandao mingine imetoa fursa kwa watu kufahamiana hususani wenye malengo yanayofanana kama uhitaji wa ndoa n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom