Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Swali ilo juu je ukitoa mahari unapewa mke
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani kuna demu mkali ile mbaya nilimtokea tangu mwezi february 2011, tangu nilipoanza kumdondokea usoni amekuwa aniambia kuwa tutaongea nisubiri akipata nafasi!<br /> <br /> Leo nikiwa mitaa...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari zenu JF, Hope wazima humu na poleni kwa mihangaiko, Niende kwenye mada, ninampenzi wangu ambae tumekaa mbali kidogo sasa sijui katika kukaa mbali imesababisha yeye akapata mtu mwingine...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu hii imekaaje? For the love of eduction unakuta rijali kaacha mke na kupotelea Ulaya kusoma kwa miaka miwili na zaidi. Hivi hiyo ndoa yaweza kuwa salama kusiwe na kusalitiana?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mke anahitajika popote alipo. Nina umri wa miaka 28, nina mtoto mmoja, mama yake hajafa yupo hai ila ni dini tu ndo imetufanya tusiwe pamoja. Mimi ni mfanyabiashara, kuhusu elimu nina degree ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimerudi kutoka kwenye mihangaiko yangu nakutana na hii mlangoni.
4 Reactions
186 Replies
25K Views
Swali kwenu wana MMU. Mafuriko ya mabango ya wajane kwenye mikutano ya Magu wakiomba misaada inatupa picha gani? Mbona sijawahi kuona mabango ya "wagane", ( wanaume waliofiwa na wake zao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au...
8 Reactions
146 Replies
16K Views
Nahitaji msaada maana nimegusiwa na Bi Mkubwa kuwa kuna mtoto mwenye maadili kwa jirani.Mimi bado sijampa jibu maana nina mpango wa kitafuta mwenyewe pia bado nipo katika ukaguzi wa kuangalia yupi...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Unakuta unamfukuzia msichana au mwanamke au hata msichana ambaye umevutika nae labda sababu ya sura yake matata au figure yake ya eight unamtokea mtoto mzuri. Mfano; unakutana nae dukani, hotel...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Habarini wadau, Mimi sipo exposed saana na dunia hii, ila nina ukaribu na baadhi ya wageni walio Wazungu (hasa Wamarekani, Wafaransa, Waingereza na Waholanzi) hawa wengi wao ni exparts ila...
9 Reactions
22 Replies
5K Views
Wana jukwaa nawasalimu, Kuna jambo nakabiliana nalo naombeni ushauri wenu nina mchumba wangu ila tumejaliwa mtoto mmoja hatujafunga ndoa bado. Mwenzangu alipata nafasi ya kweda China masomoni...
1 Reactions
83 Replies
8K Views
Mpenzi wangu kaniambia nkishika mimba atanirudisha home mana ye hawezi ule usumbufu wa mama mjamzito. Nimeishiwa pozi hapa nataka nimuache kimya kimya,si kwa unyanyapaa huo. NB: Hakuniambia...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimekuwa nikipitia posts nyingi humu JF, hasa katika jukwaa la Love Connect, wanawake wengi wanaotafuta wanaume wa kuwaoa, kwa kweli nimegundua kuwa wengi wao hawako very serious na kile ambacho...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwan kutongoza demu nsiemjua kwenye magroup ya tsup na telegram dhambi??! Mi.mwenzio kila nnae mtongoza anazama King ila juz yamenifika nmetongoza demu wa admin akankubalia ila tatiz bahati co...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini pale Wawili mnapokuwa mnafanya mapenzi / mnabanduana / mnatinduana / mnangonoka mmoja wapo akimtaka tu mwenzie aseme / atamke lolote lile amri hiyo hutekelezwa mara moja pasipo...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Miaka ya tisini hapo kwanza redio zilikuwa chache sana na zingine zilikuwa hazi-keshi mwisho alikuwa SAA sita na kuanza SAA 11 asubuhi lakini baadaye wakaanza kukesha hadi hivi Leo. Sasa redio...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii huwa inanishangaza sana, unakuta watu wanaitana majina yote matamu matamu pale wanakuwa wapenzi lakini penzi likiisha majina yana kuwa kinyume cha yale ya kwanza. Rafiki yangu alikuwa na...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wanabodi, Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli. Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani. Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la...
21 Reactions
306 Replies
22K Views
Back
Top Bottom