The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,085
Habari ya sikukuu ya nane nane wakuu.
Naomba nichangie(share) na ninyi uzoefu wangu wa miezi kama 2 hivi au 3 ya kua na mwanamke mmoja.
Kwanza kabla ya yote naomba kutangaza maslahi, mimi bado ni muumini mtiifu wa zaidi ya mke/mpenzi mmoja na nimekua nikiishi kwenye imani yangu mikaa mingi.
Kuanzia mwezi wa sita mwaka huu nilihama kiofisi na kubadikishiwa majukumu, hivyo najikuta majukumu mapya yananiweka kazini hadi sa 2 usiku, hivyo nikirudi nyumbani nakua nimechoka sana hivyo naishia kulala na kuamka kesho yake.
Toka kipindi hicho nimekua sipati muda wa kukimbizana na vidosho kama kabla sijahamishwa ambapo ilikua kila siku au baada ya siku moja lazima angalau nichangamshe damu na mwanamke, hivyo nilikua na idadi kubwa ya wanawake kutimiza mahitaji yangu, nilikua simalizi siku mbili sijachangamsha damu, nikimaliza siku 2 bila mwanamke nahisi kuumwa.
Hii kazi mpya inaniweka bize najikuta nakutana na mwanamke mwisho wa wiki jumapili tu, sasa mwezi wa sita nilikutana na wanawake wawili tu kwa wikendi 4 zote, mwezi wa 7 nimekutana na mwanamke mara 2 tu, yaani baada ya wiki 2 mara moja, naona kama naanza kuzoea kutofanya ngono mara kwa mara.
Point yangu ni kwamba kama ukiwa na mwanamke anaejielewa na akatimiza majukumu yake sawasawa basi mke/mpenzi mmoja kuna uwezekano mkubwa kabisa kutosha kwa mwanaume. Kwa mwenendo huu mimi binafsi naona kabisa upo uwezekano nikawa na mpenzi mmoja tu
Mke mmoja/mpenzi mmoja inawezekana kabisa ila tu kama mwanamke huyo atatimiza wajibu wake.