Hivi mapenzi matamu ni lazima fedha kiwe kigezo kwa kinadada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mapenzi matamu ni lazima fedha kiwe kigezo kwa kinadada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BUMIJA, Apr 13, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Siku hizi hata kama unasura mbaya ama uwe mzee sana kama una pesa unapata mwanamke,kina dada hawaangalii cv,wala upendo toka moyoni,zamani hii haikuwepa sana,lakini kwa sasa mwanamke anajishebedua kwako ukiwa na kitu,je unadhani kama aliingia kufuata kitu je kikipotea kuna mapenzi,na utajuaje kua huyu hajanipenda pesa,nasema kwa sasa tanzania mapenzi ya kweli ni 25%.je kwa nini
   
 2. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  siku zote ukiwa na pesa lazma utaitanguliza
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  We unataka ufanye mapenzi porini au kwenye vichaka? Ambapo hulipii
   
 4. k

  kimamii Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaa pesa sabuni ya roho
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  hujamuelewa... Hazungumzii unapofanyia, bali unayemfanya
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  hapana pesa siyo sababu ya kupata mke bali utapata mwanamke. mke hatoangalia pesa bali upendo wa dhati na heshima.
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  jamani hata wanaume huwa hawataki mwanamke ambaye ni golikeeper. wanataka wenye kipato nao je tuwaweke kwenye kundi gani?
   
 8. S

  SI unit JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Brain concussion
   
 9. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Asa em niambie! Aya mmependana,ok alaf! Ndo ata zawad ununui,au ndo mnatembeleana kibubububu! C lazma uwe nazo nyingi,..bt better than empty hands!
  Yale ya akina nikinywa maji nakuona kwenye glas,wakat hata ela yenyewe ya glass huna,ni hapo zamani za kale! Saiv pesa ndo inarun dunia meen..no money no honey! Atlst with money u can bahatika with fake ones. Dunia imebadilika,kila kitu pesa,ata c ktk mapenzi,ndugu tu wenyewe huna kitu,watakuja of ur type..hata iwe msiba,au sherehe..sembuse mapenzi!
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Pesa itakufanya ukamle hata Malkia
   
 11. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahahahah ntakusukuma wewe af uangukie ass,cjuw utaitaje..Ass concussion!
   
 12. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nashanga! Cndo pakupata magonjwa,coz hata ya condom huna,.ndo mwanzo wa kuazima,af unafua
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbona umeweka asilimia nyingi sana sana 25% mmhhh,mapenzi ya kweli labda 0.00000001%,Pesa na tamaa za kimapenzi ndio zinatawala na si real luv.
   
 14. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  money is every thing mkuu
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo ukitongoza unataka mwanamke ndo alipie pakufanya ngono? Ndo ghalama zenyewe hizo
   
 16. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nini maana ya real love
   
 17. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nini maana ya real love
   
 18. k

  kimamii Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona wimbo wa single boy wa alikiba unahusika hapa
   
 19. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  inaonekana ushazoweshwa kuchunwa
   
 20. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naaaaaaaaaaaaaam!!! Na huo wimbo nao!!!!!!!! Kha, ndo unaharibu kabisa maana ya mapenzi, eti mapenzi ya kugandana ni yale ya zama za kale, siku hizi ni pesa kwenye table halafu ndo kieleweke. Masikini kizazi hiki cha dot com nakionea huruma.
   
Loading...