Mchepuko anatishia kuniacha

Mchepuko anatishia kuniacha

sicam

Member
Joined
Aug 7, 2017
Posts
75
Reaction score
44
Habari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe ngoma droo au niuchune nione mwisho wake nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna cha ngoma droo hapo
umemfanya mchepuko yeye amekufanya wa akiba
 
Tanzania ya vi-wonder, Inaelekea umedata kwa mchepuko kuliko mke wako hadi anataka kukuacha unaweweseeeka duuh noma, mchane ukweli halafu mbwage tuuh hamna jinsi.
 
mi michupeko huwa hata hainisumbui sababu hakuna sehemu atanishtaki.iko ambayo inalilia hadi leo kwa jinsi nnavyoikaza!ila hulka yng moja siamini katika uongo hivyo huwa nasema mapema tu kwamba nna mke lakini tumetengana kwa muda hvyo anaweza kurudi wakati wwote.kuliko useme huna mke ni shida ataanza kuhamia kwako taratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe ngoma droo au niuchune nione mwisho wake nini

Sent using Jamii Forums mobile app
MUOEWE KABISA ILI AJIHAKIKISHIE KUWA HUNA MKE
 
Uhalifu haulipi, kuwa mwaminifu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Idadi ya wanaume inazidi kupungua
Mtoa mada nenda nyumbani kwa mama watoto mpange maendeleo acha kuwaza upupu
 
Habari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe ngoma droo au niuchune nione mwisho wake nini

Sent using Jamii Forums mobile app
SHAME SHAME SHAME
 
Hapo nisawa na kusema.....
Ulimpa dhahabu bandia, nayeye akakupa pesa bandia....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Basi mueleze tu, ili tuite ngoma droo
 
Mchepuko wa nn na wewe
Ivi ukisikia mke wako nae anachepuka utafurahia
 
Back
Top Bottom