Mahusiano siku izi

Mahusiano siku izi

Stiffler88

Senior Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
161
Reaction score
528
napata tabu sana kuona kila uchwao rafiki zangu wana break up na wapenzi wao, n kama mahusiano siku izi yamekua kitu flani chepesi kuwa u can just forget and move on kudate mtu mwingine. kwa watu wengi wanaachana wanaenda kudate mtu mwingine wanakuta kule kuna changamoto zaidi au afadhali alikotoka anaanza kumsumbua ex wake, au anataka kurudi kwa ex wake ila anaona kama akimwambia n kama ataonyesha weakness ivi.

lakin mwisho wa siku anakuja kusema inakua too late Nmeona ii trend inajirudia kwa watu wangu wa karibu na me pia n mhanga wa ii kitu, Najua kuna deal breakers kene mahusiano, tusiwe sana negative na wapenzi wetu wao n binadamu pia, binafsi naumia sana kuona watu wanapendana bado lakin kila mtu anajustfy mapenzi hayawezekani tena (labda nmekua so naingalia picha ya mbali zaidi).
na tunavozidi kudate na kuachana sometimes tunaongeza emotional baggage yan huko ndo zile imani zako chafu kuhusu wanaume/wanawake zinaongezeka. No body is perfect, we are all work on progress, love grow with time.
Tukubali kusamehe na kuomba msahama, hasira hasara, lets not let our Ego make most of us, mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja tusiishi kwa kukariri kwa kuangalia mahusiano kama black and white...

Ii haiwahusu wazee wa short course au wazee wa one night stand au wale wazee wa kutest ( pump and dump) ni kwa wale ambao kuwa kene mahusiano inamaanisha unakua commited na mtu possibly kuoana.
 
Unamuandiko mbaya, kama wangu samahani kama nimekukwaza.!!
 
Hii tabia ya ku break up na kuanza kurudisha majeshi kwa X ita trend sana siku za mbeleni

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Zamani vijana waliozwa mapema, kijana akitoka jandoni anakabidhiwa kihamba na mke na huwezi kumwacha mke kirahisi.

Pamoja na kuwa mabadiliko makubwa kwenye jamii yalikuja na dini pamoja elimu na hayo lakini hakuna dini inayoruhusu ngono kabla ya mdoa. Hili ndiyo tatizo kubwa linalotuletea mimba za utotoni, magonjwa ya zinaa na momonyoko wa maadili.
 
Zamani vijana waliozwa mapema, kijana akitoka jandoni anakabidhiwa kihamba na mke na huwezi kumwacha mke kirahisi.

Pamoja na kuwa mabadiliko makubwa kwenye jamii yalikuwa dini na elimu lakini hakuna Dino inayoruhusu ngono kabla ya mdoa. Hili mdiyo tatizo kubwa linalotuletea mimba za utotoni, magonjwa ya zinaa na momonyoko wa maadili.
Sky leo vp barid limezd vidoleni au???sio kwa mwandko huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani vijana waliozwa mapema, kijana akitoka jandoni anakabidhiwa kihamba na mke na huwezi kumwacha mke kirahisi.

Pamoja na kuwa mabadiliko makubwa kwenye jamii yalikuwa dini na elimu lakini hakuna Dino inayoruhusu ngono kabla ya mdoa. Hili mdiyo tatizo kubwa linalotuletea mimba za utotoni, magonjwa ya zinaa na momonyoko wa maadili.
Nakubalina na wewe, tuna option nyingy sana za kupata wapenzi, wadada daily wanatongozwa kwenye social media, daladala, na sehem zenye mkusanyiko, siku izi its all about sex. Kubreak up n rahisi, maana unajiona more valuable kuliko kawaida, not to mention ni kama kuna watu wapo kwenye folen as uyu akizingua nahamia pale. Hii n kwa wote wakaka na wadada
 
napata tabu sana kuona kila uchwao rafiki zangu wana break up na wapenzi wao, n kama mahusiano siku izi yamekua kitu flani chepesi kuwa u can just forget and move on kudate mtu mwingine. kwa watu wengi wanaachana wanaenda kudate mtu mwingine wanakuta kule kuna changamoto zaidi au afadhali alikotoka anaanza kumsumbua ex wake, au anataka kurudi kwa ex wake ila anaona kama akimwambia n kama ataonyesha weakness ivi.

lakin mwisho wa siku anakuja kusema inakua too late Nmeona ii trend inajirudia kwa watu wangu wa karibu na me pia n mhanga wa ii kitu, Najua kuna deal breakers kene mahusiano, tusiwe sana negative na wapenzi wetu wao n binadamu pia, binafsi naumia sana kuona watu wanapendana bado lakin kila mtu anajustfy mapenzi hayawezekani tena (labda nmekua so naingalia picha ya mbali zaidi).
na tunavozidi kudate na kuachana sometimes tunaongeza emotional baggage yan huko ndo zile imani zako chafu kuhusu wanaume/wanawake zinaongezeka. No body is perfect, we are all work on progress, love grow with time.
Tukubali kusamehe na kuomba msahama, hasira hasara, lets not let our Ego make most of us, mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja tusiishi kwa kukariri kwa kuangalia mahusiano kama black and white...

Ii haiwahusu wazee wa short course au wazee wa one night stand au wale wazee wa kutest ( pump and dump) ni kwa wale ambao kuwa kene mahusiano inamaanisha unakua commited na mtu possibly kuoana.
OK WEWE UNATAKAJE?,KAMA HUNA PESA WEWE NI BOYA TU KENGE WEWE AU VIPI? OOH MAPENZOI SIKU HIZI HAYADUMU OOOH WATU WANA BREAK UP OOOH MAPENZI KIZUNGUZUNGU,WEEE VIPIIIII?SISI WANAWAKE TUNATAKA PESA NA SIO MBOOO AU VIPI? MBOOO NI SUSAGE KULA WEWE NA WAZAZI WAKO WALIOKUZAA.
 
Zamani vijana waliozwa mapema, kijana akitoka jandoni anakabidhiwa kihamba na mke na huwezi kumwacha mke kirahisi.

Pamoja na kuwa mabadiliko makubwa kwenye jamii ykikuja na dini pamoja na lakini hakuna dini inayoruhusu ngono kabla ya mdoa. Hili ndiyo tatizo kubwa linalotuletea mimba za utotoni, magonjwa ya zinaa na momonyoko wa maadili.
Hujambo ndugu wa mlogolo?
 
Back
Top Bottom